Bi Kidude yu bukheri wa Afya...... aliyefariki anaitwa Bi Kibibi!

Wednesday, October 26, 2011 0 Comments


Wadau kuna uvumi ulizushwa tangu jana kuwa bi kidude amefariki, Ukweli ni kwamba Bikidude yuko mzima kabisa wa afya tele wanaomzushia kifo wanamtabiria maisha marefu zaidi

Aliyefariki anaitwa Bi kibibi ambaye alikuwa akikaa jirani kabisa na Bi kidude na mazishi yake yamefanyika jana huku Zanziberi!

0 comments: