MNYAMA CHALIIII...... HAPAN CHEZEA YANGA

Sunday, October 30, 2011 0 Comments

Kocha PAPIC wa Yanga akiwa amebebwa juu kwa mara nyingine baada ya kufanikisha YANGA kuifunga Simba kwa Bao moja bila majibu ktk uwanja mpya wa Taifa jijini jana

Yanga walidhihirisha kuwa kikosi chao ndio bora zaidi na kuwapa raha mashabiki kwa bao safi la Davis Mwape ktk dk ya 72 kwa kuifunga Simba ambao tangu ligi ianze walikuwa hawajawahi kufungwa na timu zingine ktk ligi hio.......

YANGA IKO JUU HAPANA CHEZEAAAAAAA

0 comments: