Anonymous wa 2.34 pm unawivu wa naendeleo kaoge eti maandunje nyooo sugua gaga ilo kwanza ndo uje ukoment umu povu linakutoka kisa joto hasira ugumu wa maisha waja kuzimalizia umu we mpaka kumpatia dida utasubili sanaaaaaa hahahahaha cheko lako ilo bibie
Hapana kabisa chezea dida w exden umependeza sana mama ya samira akina mwafurengo watasubili sana miaka 200000 hapana chezea ww kabisaaaaaaaaaa
ReplyDeleteHapana kabisa chezea dida w exden umependeza sana mama ya samira akina mwafurengo watasubili sana miaka 200000 hapana chezea ww kabisaaaaaaaaaa
ReplyDeleteDida hiyo braus imekuwa sare ya shule? naona mpaka penny anayo, Maandunje wa tanga mnamambo.
ReplyDeleteUmependeza dida pls nijuze Lace yako umenunua duka gani .Kizuri kula na wateja wako Blauz nimeipenda.
ReplyDeleteAnonymous wa 2.34 pm unawivu wa naendeleo kaoge eti maandunje nyooo sugua gaga ilo kwanza ndo uje ukoment umu povu linakutoka kisa joto hasira ugumu wa maisha waja kuzimalizia umu we mpaka kumpatia dida utasubili sanaaaaaa hahahahaha cheko lako ilo bibie
ReplyDeleteUmependeza lkn pozi la miguu acha simama kawaida mbona hujiamini kama wewe mzuri dada
ReplyDeleteKwa kweli
ReplyDeleteaisee mdada nimemwona mumeo kwenye kipind chake tv1,anaonekana mstarabu xna,nawaombea maisha marefu kwenye ndoa yenu....
ReplyDeletePole na matatizo songa mbele usitetereke, yote yatapita kwasababu wewe ni Mwanamke mpiganaji.
ReplyDelete