cousin hope kutakuwa na viatu dizaini nyingine pia, tena utakua umelenga kweli mwisho wa mwezi na nilishapanga nije nibebe simple za kumwaga, mzigo ukifika ututandazie hapa tuanze kuchagua kabla hatujafika dukani, tukifika tunapick tu....love u mingi cousin...
Cousin usijali nawadau wote viraba elfu 70 vipo rangi tatu pink, , nyekundu na nyeusi na kuhusu boyfriend watch zikifika tu nitawaambia bei ila flat shoes zote ni 35000 karibuni sana sana msisite kuniuliza kitu

SAFI SANA SKU IZ UMEBADILIKA SANA UNATUJIBU BWANA, ULIKUAGA JEURI KMA NINI SJUI KMA N MR NDO KAKUBADILISHA VZURI SANA EZDEN.UENDELEE HIVYO UTAKUWA HUKAI NA MIZIGO IKIFIKA TU FASTERRRRRRRRRRRRRRR UNAMALIZA MZGO SI UNAMCHEKI MANGE YULE ANAMALIZA MZGO HARAKA SANA YN.TUMIA BLOG HII KUUZA VITU HARAKA NA SIYO KUWA JEURI UJEURI SIO MZURI MY DEAR KILA LA KHERI KWENYE NDOA YENU HIYO.
Tupe bei kabisaaa! Nataka 2 pairs hopeful kutakuwa na rangi nying
ReplyDeleteJaz
taja bei na mimi pia nahitaji red na black.....labda pia ulete vingi maana hata rafiki zangu wanahitaji
ReplyDeleteBEI MAMII NA BOYFRIEND SAA JE ZITASKUWEPO NA NI SH NGP JBU TFADHL USIKAE KIMYA SAWA MY DEAR.BEI BEI NDO UGONJWA WETU HUO.
ReplyDeletecousin hope kutakuwa na viatu dizaini nyingine pia, tena utakua umelenga kweli mwisho wa mwezi na nilishapanga nije nibebe simple za kumwaga, mzigo ukifika ututandazie hapa tuanze kuchagua kabla hatujafika dukani, tukifika tunapick tu....love u mingi cousin...
ReplyDeletedida tujibu viatu vitauzwa bei gani?ili tujiandae
ReplyDeleteCousin usijali nawadau wote viraba elfu 70 vipo rangi tatu pink, , nyekundu na nyeusi na kuhusu boyfriend watch zikifika tu nitawaambia bei ila flat shoes zote ni 35000 karibuni sana sana msisite kuniuliza kitu

ReplyDeleteHow can one book in advance Mrs Ezden
ReplyDeleteInform us kama we can pay in advance. At least tusikose.
Deletehata pair 2 zinatosha
Ntapata size yangu Dida hvo viraba? Navaa 41/42.
ReplyDeleteSAFI SANA SKU IZ UMEBADILIKA SANA UNATUJIBU BWANA, ULIKUAGA JEURI KMA NINI SJUI KMA N MR NDO KAKUBADILISHA VZURI SANA EZDEN.UENDELEE HIVYO UTAKUWA HUKAI NA MIZIGO IKIFIKA TU FASTERRRRRRRRRRRRRRR UNAMALIZA MZGO SI UNAMCHEKI MANGE YULE ANAMALIZA MZGO HARAKA SANA YN.TUMIA BLOG HII KUUZA VITU HARAKA NA SIYO KUWA JEURI UJEURI SIO MZURI MY DEAR KILA LA KHERI KWENYE NDOA YENU HIYO.
ReplyDeleteNaweza pata size 36 blak en red plz ucnsahau kwa hzo number
ReplyDeleteNaweza pata size 36 blak en red plz ucnsahau kwa hzo number
ReplyDeleteThanks nimepata majibu. Mm black number 40. Na boyfriendwatch usinikose plz mumy
ReplyDelete