JAMANI KWELI MAISHA YAMEKUWA MAGUMU DU,KUNA WANAWAKE MJINI WANAWAPIGIA SIMU WANAUME KWA KUJARIBU NAMBA TOFAUTI AKISIKIA SAUTI YA MWANAMKE ANAKATA NA AKISIKIA YA MWANAUME ANAJIFANYA KULEGEZA SAUTI NA KUSEMA KAKOSEA NAMBA,DHIKI TUSIZIWASHIE FENI TATIZO TUMEZOEA KUHONGWA SASA TUKIMWAGWA TUNATAFUTA PA KUHEMEA MJINI.TUJISHUGHULISHE HATA KWAKUKOPESHA VITENGE KWA MTEREMKO MNAOTAKA DU NI HATARI,WENGI WANACHUKULIWA KWA ELFU KUMI UNA JIRAHISI KAMA YEBO YEBO HATARI SANA,TUBADILIKENI WANAWAKE WENZANGU.

Thursday, May 09, 2013 8 Comments

Mwanamke ninayejua kuzitafuta na kujua kuzitumia mapedesheee hunipigia salute.

8 comments:

  1. Nani tena huyo pole yake

    ReplyDelete
  2. mambo vipi dida?naomba weka namba ya huyo dada anayekusuka anasuka vizuri sana.unazidi kupendeza my dear hongera.

    ReplyDelete
  3. Yaani ile tuzo aloipata Dina Marios wa Clouds FM ya 'WOMAN OF THE YEAR' laiti kama ungeipata wewe bidada........., sipati picha ingekuwaje hapa jijini, na hayo majigambo yako!!!!! TUNGEJAMBA CHECHE......!!!!!! WAMOJA HAVAI MBILI.

    ReplyDelete
  4. ila dida wote wanaofanya hivyo si wahuni bali kunawanawake hawana wanaume na wako bize na maisha kwa kutafuta hela kuna wakati wanamis sauti za kiume na pia hua wanalala peke yao vitandani zaidi ya mwaka au miezi sita na zaidi sa hua hawana kampani ya mwenza na unavyojua tena kibaolojia mwili hua nahitaji mambo mengi kwa kuwa hawa watu wanakula aina zote za vitamini na protini namaanisha hawa wanawake sasa inafikia hatua wanakuwa na hamu hata ya kuguswa mkono au wanahitaji kupapaswwa au kukumbatiwa na kwa kuwa hawana wanaume wa kuwafanyia hivyo ndio wanajihisi wapweke sasa wakitulia usiku au wakati wowote wanamic hizo sauti za kiume na sio wanawake hata wanaume wapo ambao nao hawana wanawake na wakati wengine hua wanawasiliana na wanawake na kujifanya wamekosea namba lakini nia na madhumuni ni kusikia sauti za wasichana alafu wanasikia raha unajua hata tulipofundishwa somo la ukuaji darasa la saba au la tano nakumbuka tuliambiwa sauti huleta mahaba sana hasa ukisha balehe na ndio maana mwanamke akiwa na mwanaume wakiwa kitandani wakati wa tendo la ndoa wakiwa na ufundi wa kutumia sauti zao kitendo hua kinakuwa kizuri zaidi kuliko wale ambao wnafanya tendo la ndoa huku hawaongei kimya kimya unajua ni kwa nini kwa sababu sauti ya mwanaum e inakuwa nzito na hua inamsisimua mwanamke hata kama akimuuliza unaenjoy? mladi ametoa sauti mwanamke anasikia raha mwingine hua anamwita mpenzi wake jina ili tu asikie sauti wakati wapo kitandani kwani hua zinabadilika na wakati huo huo sauti ya mwanamke pia hua laini sana ambapo hua inamsisimua mwanaume, sasa basi hawa wanaopiga namba za simu na kudai wamekosea sio wote wahuni wengine hua wanahamu ya kuifurahisha miili yao kujifariji kwa upweke na utawajua kivipi ni sasa inapofika wakati unapomwambia tuonane anakataa kata kata na mwishoni hua kabisa hawaonani. na pia hakupi details zake zozote ndio maana nasema sio wote hua wanajirahisisha hapana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau nimekupenda buree! Natamanije tuwe mashoga uwe unanipa hayo maushauri sasa..hahahaa

      Delete
  5. Dida elfu kumi mbona nyingi sana.

    ReplyDelete
  6. UNAPAJA NZURI DIDA NIMEZIKUBALI.

    ReplyDelete
  7. km mungu kakupa ni zako dida wacha majigambo

    ReplyDelete