WASHINDI WENGINE TENA WA VITENGE VYA DSTV
DSTV wameamua kuwavalisha mashosti mwaka huu kwa kuwapatia vitenge vizuri na vya thamani kwa kuuliza maswali rahisi tu na mshindi anajipatia kitenge chake. Hapa chini ni baadhi ya washindi waliofanikiwa kupata zawadi ya DSTV.
MSHINDI : MERCY (Mkazi wa Mbagala Dar es salaam)
MSHINDI : USUIL (Mkazi wa Magomeni Dar es salaam)
MERCY
USUIL
0 comments: