WASHINDI WENGINE TENA WA VITENGE TOKA DSTV

Wednesday, April 30, 2014 0 Comments

Mteja wa DSTV kumbuka vitenge bado vipo na tunafurahi kuona mnavyojitahidi kujibu maswali tunayokua tukiuliza. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi wale ambao wamejibu kwa usahii zaidi. Na kuwatoa hofu wale wanaosema kwenye comments kua hawawezi kuandika namba zao sababu zitaonekana kwa wengine, hicho kitu hakipo sababu hatuziachii comments hiyo ikiwa moja ya sababu lakini nyingine ni kutompa mtu asiyefahamu jibu kupata idea toka kwa majibu ya wengine.

Haya washindi wetu wengine waliojipatia vitenge na kupata nafasi ya kupozi katika blog yetu ni hawa hapa...

MSHINDI : GRACE (Mkazi wa Makongo Juu Dar es salaam)





MSHINDI : NASRA (Mkazi wa Sinza Dar es salaam)









0 comments: