Bwana mi naona hiyo style ya weave fupi ni zuri, zile ndefu big no..jamani.acha uwe wewe! Agh yale marefu kwa mtu yeyote huwa full fake! Si km Muhindi!! Mzungu! Mchina nk. Bora fake kidogo tu ya kimadoido...poa
mnaotaka ushauri kuhusu kupungua kwangu nafanya sana mazoezi na nimepunguza kula mno uwe na nia kuwa unataka kupungua na utapungua tu sina la ziada wapenzi na kuhusu dawa wengi wananitumia email dawa zipo ila mpk ujue madhala yake kabla ya kunywa nikisafiri nitajaribu kuwaulizia zilizo bora zaidi.
Bwana mi naona hiyo style ya weave fupi ni zuri, zile ndefu big no..jamani.acha uwe wewe! Agh yale marefu kwa mtu yeyote huwa full fake! Si km Muhindi!! Mzungu! Mchina nk. Bora fake kidogo tu ya kimadoido...poa
ReplyDeleteDida hizi nguo nzurii sanaaa nimezipendajeee dukani kwako zipoo?
ReplyDeleteWatakukomaa mwaka huu, lol... Unawakimbizaaa pendeza sana mamii!!! Mimi love uu
ReplyDeletedida mpnz you look so young umepungua vizur usinenepe tena love you mingimingi.
ReplyDeleteTuambie wadau wako umetumia nn kupungua jaman kizur tugawane tunailiza mno hutujib tujal basi jaman
ReplyDeletemnaotaka ushauri kuhusu kupungua kwangu nafanya sana mazoezi na nimepunguza kula mno uwe na nia kuwa unataka kupungua na utapungua tu sina la ziada wapenzi na kuhusu dawa wengi wananitumia email dawa zipo ila mpk ujue madhala yake kabla ya kunywa nikisafiri nitajaribu kuwaulizia zilizo bora zaidi.
ReplyDelete