WANAWAKE WENZANGU JIPENDE NA FANYIA SCRUB MIGUU YAKO MARA KWA MARA INAPENDEZA ZAIDI HATA KAMA UNA MGUU KAMA CHUPA YA GONGO CHA MUHIMU UKITEMBEA UANGUKIIIIIII,TUJIPENDE SIO KUSEMANA TU KILA SIKU MAJUNGU TU POTEZA MUDA KUJITENGENEZA SIO UMBEA TU MIGUU INA MAGAGA,

Friday, March 08, 2013 6 Comments


Hapana chezea napoteza muda mwingi kuunusuru mguu wangu kutoka @yahoo.com.

6 comments:

  1. ahahahahhahaha uwiiii umenigusa nahii DIda maana nikweli haswaa unamkuta mwanamke kutwa kushinda kibarazani kumuongelea mwenzio mbeya .com miguu inamagaga hayoo kikwapa kinanua hata kuoga haogi anaamkia umbeya kusema wengine ,jipendeni wanawake,messege send ahahahahha hata mkimtukana dida anawapa ukweli hamtaki,nimepnda hivyoo vikuku pia miguuni

    ReplyDelete
  2. Umefanya wp dida nimependa kweli

    ReplyDelete
  3. dah mguu saafi,umefanya scrub wapi mpenzi? sasa nimependa hivyo viatu kwenye picha ya pili,kama viko kwenye shop yako nifanye mipango fasta.

    ReplyDelete
  4. hata kama mkorogo we mguu wako uko vipi hilo ndo la msingi

    ReplyDelete