Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- HII NI KWA WANAWAKE WENZANGU WENYE WATOTO,MTOTO WAKO AKIFIKISHA UMRI WA MIAKA MINNE MPE MAZIWA YA NIDO NIAMINI.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- THE AFTERMATH...
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
wapi hapo D? pazuri sana
ReplyDeleteISOME KIMOYOMOYO NAUHAKIKA UTAIBANIA ILA IMEKUFIKIA .UNASWAGA NZURIINAPENDEZA, ILA TATIZO UKIPIGA PICHA SIJUI KWANINI UNAPENDA KUJIGEUZA KWA NYUMA KAA VILE UNAONESHA MATAKO AU UNAKUMBATIA TAA .WEWE UNA UZA NGUO JITAHID CHUKUA MAGAZETI YA MADIZAINA UWE UNAPATA POZI NZUR MY DEAR
ReplyDeleteHALAFU PIA MAISHA YAKE YAKO JUU ILA HAENDANI NAYO , I MEAN HAYAMPENDEZI HIVI SIJUI KWA NINI , THERE IS SOMTHING WRONG SOME WHERE HIVI , SINAMAANA YA KUKUKANDIA ILA NAHISI SIJUI ANYHOW KILA LA KHERI BIBIEEE
DeleteTumia mwanangu kwa raha zako, life is short.
ReplyDeleteUnapendeza ila unajiachia mno mipaja nje wakati umri haukuruhusu bora basi. Ungekua na mwili mdogo angalau hyo minyama uzembe ptuuuuuu
ReplyDeleteYani Dida mi huwa unaniacha hoi, hujali lolote unajiachia kwa raha zako, yani kila nikifungua blog yako huwa nacheka peke yangu. Uninifurahisha sana hutaki kujipa gharika la roho. hongera mwaya kwa raha zako jiachie
ReplyDeleteVile ulivyo unapendeza vyovyote utakavyokaa dadaangu
ReplyDeletePenda sana wewe jamani dida ! nikisirikizaga kipindi chako cha Jumapili jioni nasuuzika roho yangu maana mtoto una maneno. Huyo mwafundenge sijui anatangaza radio gani hakuwezi ata kidogo manina zake. atasubiri sana akupati hasirani. maana mtoto unajua kuchamba balaa. atakaetaka ugomvi na wewe ajipange. Wakuache miaka mia nane
ReplyDeleteD..WA MCHOPSS AAH SORRY D..WA G...AAA ZAMNI.. D WANANI....HAYA TUAMBIE SIRI YA MAFANIKIO SHOGA KILA WEEK END KULALA HOTELINI NA NINANI HUWA ANAKUPIA PICHA LOL..........ALL THE BEST..
ReplyDeleteWapi hapo Dida hebu tuambie jamani nasisi tukajivinjari japo weekend za mwisho wa mwezi lol!
ReplyDeletemambo ya konfort hayo mwenyewe nimelala sana hapo hapana chezea konfort kuzuri saaaana dida lini hiyo jamani
ReplyDeletehongera sana. natamani sana hiyo life style yako. sasa swali huwa unakuwa peke yako huko hotelini?
ReplyDeleteAchana nao,
ReplyDeletewe mzuri kwa namana yako mzuri tu!!!!
Tunapaswa kujua kua kamwe Hatuwezi kufanana
na hatuwezi kulazimisha kulingana na fulani
ulivyo ndivyo ulivyo na tunakupenda ulivyo
safiiiiii Dida
ReplyDeletehapo panaitwa KONFA BUSINESS LODGE- MBEZI BEACH GOIG NYUMA YA SHAMO/CRDB BUILDING. we unaye paita konfort hiyo labda ya kwenu huko
ReplyDelete