FULL SWAGGA ZA MTOTO WA KITANGA UHITAJI TOCHI BOFYA,NISOME JAPO KIMOYONI HATA KAMA HUTAKI NAJIKUBALI MPK NAJIOGOPAAAAAA.

Thursday, March 07, 2013 7 Comments








7 comments:

  1. Umependezaaaa

    ReplyDelete
  2. dida naomba uweke duka lako baada ya mmarekebisho

    ReplyDelete
  3. We ni wa ukweeeee asiyekukubali akaoge

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tena akaoge na omo Dida wa ukweli

      Delete
  4. INATOSHA DIDA! MAKE WW MKALI SAAAAAAANA! KISWAHILI CHA MTAANI WANASEMA upo juuuuuuuuuuuuuu!

    ReplyDelete
  5. umependeza saana napenda nyumba yako nzuri na saafi wanawake tuige mfano hapo wausafi nakupenda nyumba zetu sio kukaa vibarazi kutwa kucha kuongelea watu .muangalie huyu dada anavyojua kutafuta strong woman ,nakupenda saana Dida,unafaakuwa mfano wakuigwa umchapa kazi umsafi unajipenda saana unampenda mwanao,sio tegemezi kutegemea wanaume ndo usonge hauko hivyoo,mwanamke unaweza kusongambele kimaisha ukiwa single mama,bila kutegemea wanaume au kuchuna mabuzi kumepitwa na wakati,wanawake tuamke.mfano mzuri ni huyu dada Dida,love u soo much watakao ponda wanajidanganya ila ukweli wanauona,mimi mdau sweden.

    ReplyDelete