Most Popular Posts
-
AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
-
SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
-
HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
-
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.... KHERI KWA KILA MTU
-
THE AFTERMATH...
-
MY WEDDING DAY....
-
WADAU KWELI MIMI NI MTU MZIMA WALA SI KIPANDE NA SIJAFIKIA UTU UZIMA UOOOO SABABU SICHAMBII PANGA WALA SIPIGI DANADANA KWA MAKALIO,ILA NAPENDA NIWATOE HOFU NYIE MNAOJIFANYA MNANIJUA SANA KULIKO MAMA YANGU MZAZI NI HIVI NAMTAJA LIVE SABABU ANAJUA SIMUHOFII WALA SIMUOGOPI NA SINA SHARI NAE ILA AKIITAKA KWANGU ATAINUNUA KWA BEI RAHISI BILA YA VAT,SINTA NAKUTAJA NA NAJUA HUWEZI CHAMBANA NA MIMI HATA ROBO MAANA NITAKUPA UMAARUFU WA MUDA MCHACHE MAANA HATA WA KUTATIZA KATIKATI YA MSAFARA WA RAISI UTACHUKUA MUDA,NYIE MNAOSEMA NAMUOGOPA SINTA ANALIJUA ILO KUWA SIMUOGOPI HATA KIDOGO NA NIKITAKA KUCHAMBANA NAE SI HUMU NAMTAFUTA KWA GHARAMA ZANGU TUCHAMBANE FACE TO FACE KWA HIYO SINTA FANYA YAKO ANDIKA YAKO UMO KWENYE BLOG YAKO KWELI MIMI MTOTO WA KISWAHILI SINA UZUNGU HATA ROBO ILA UKINICHOKONOA UTAJUA KAMA MIMI MZUNGU AU MZARAMU NYIE WAZUNGU ENDELEENI NA UZUNGU WENU KWANGU NDIO KWANZA MKOKO UMEALIKA MAUA,KUMBUKENI MATUSI YENU HAYANITOI KOPE NDIO KWANZA ZIMENISIMAMA KAMA KIBANDA CHA SIMU.
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
-
SO HAPPY....
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY

Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
Followers
Viewers
5399279
umependeza na yote mbona utuwekei picha za uzinduzi wa mwimbo wako wa dida homa ya jiji?
ReplyDeletewa kwanza na wa pili.
ReplyDeleteMshono wa kwanza wa juu huo uliotupa mugongo ndio funika bovu
ReplyDeleteDida kiukwel mimi nakupenda sana unajipenda sana dadaangu wa tanga big up sana mungu atakuinua zaidi
ReplyDeletemie naona huo wa kwanza...
ReplyDeleteLabla ya kwanza ingawa inakubana sana lbd uiongeze kidogo coz unaweza kuendelea kuivaa ila ikibana na shepu yenyewe ya michellin mhhhh . Hii ya pili nadhani haifai tena coz inaonekana ulishona maalum kwa shughuli fulani so huwezi kuivaa tena. Hii ya tatu chukuwa kibiriti na mafuta ya taa uichome yaani ni mbayaaaa halafu haijakupendeza hata chembe umekuwa ka kibibi na shepu yenyewe sasa km jiwe, nbalaaaa
ReplyDeleteHiyo ya kwanza imekupendeza mama, ina staha, imekuonesha umbo lango halisi na unaweza vaa popote bila kumpa tabu mtu yoyote akikuangalia.
ReplyDeleteMSHONO WA JUZI KWENYE SHUGULI YA SHAMIMU HUO NAMBA 3 NI MBAYA SN KWAKWELI HIYO MIWILI HASA NAMBA 1 MI BINAFSI NIMEUKUBALI YANI UMESHAPE FIGA YAKO IPASAVYO
ReplyDeleteMshono wa kwanza utakupendeza zaidi.
ReplyDeleteHiyo picha ya pili mbona uso na mwili rangi tofauti?
ReplyDeleteMshono wa kwanza uko poa sana
ReplyDeleteDida mamii, ile nguo ulovaa siku ya sherehe za wanawake pleaase usiivae tena, ushauri wa bure kaitoe ile mikono na kile kitambaa kinachozidi kwa chini then ibakie kigauni kimini kama tulivyokuzoea.
ReplyDeleteThen hiyo mishono yote pozi ulizokaa haionekani vizuri ya mtu kuweza kuchagua ipi imekukaa vizuri!!!
iyo nguo ya tatu naomba uifanyie modification kwakuanza na kutoa hiyo net hapo chini sidhani kama kulikuwa na mbu vile . pili toa mikona sidhani kama unahitaji kupaa. then acha huo mshono wenye maua hapo kati naona umeenda hadi chini but umefunikwa na hiyo net. mwisho naomba ubadilishe fundi anayekushonea nguo zako sababu hakujulii hata kidogo fundi anatakiwa akushauri mshono kuendana na shepu yako sasa kama anajali tu pesa basi achana nae. vaa nguo ya kwanza yapili nayo itoe huo mkia huko nyuma binadamu hatujaumbwa na mikia so you dont need one .
ReplyDeleteI love Dida, but you anonymous you real need to make some stand up comedy' I just ended laugh out loud, et sisi binadamu hatuna mikia ha ha ha ha ha ha ha .
DeleteMuacheni DIDA na Swagalicious zake za JACK CHEN'' kumbuka hata Beijing kuna Manzase ha ha ha .
Nguo zote ndefu zinakupendeza sana hapo namaanisha 1 & 3, kila ukifunika mwili wako ndio wazidi kupendeza.
ReplyDeleteNi mwangalio wangu tu.
NO ONE DIDA
ReplyDeleteMojaone wewe ni Yule wa b5 miaka ile? Nijibu please
ReplyDelete