HUYU DOGO KUSHOTO ANAITWA DOGO ESKIDE KANITUNGIA WIMBO WA DIDA FFU WA MIPASHO,UNAOTAMBA HEWANI KWA SASA BAADHI MISTARI NDANI YA UO WIMBO DIDA ALILICHAMBA SANAMU MPAKA LIKAONGEA HAPANA CHEZEYAAAAAAA ,NAMPA BIG UP NITAWAWEKEA WIMBO HUO MPATE KUUSIKIAAA.

Thursday, March 14, 2013 3 Comments

 Dogo Eskide,D Producer, Bi Hindu studio.
Dida,Dogo Eskide,Bi Hindu mjengoni.

3 comments:

  1. UKWELI NI KWAMBA HUKUTOKELEZEA SIKU ILE JAPO HAIWAUSU YALIKUWA MAAMUZI YAKO TU. LAKINI TUMIA NAFASI HII NA WEWE KUTOKA. WENZAKO WANA MAKE HELA KWA NJIA HII. PANUA AKILI UTOKE NA MCHAKATO WA KULA HELA HAPA. NDO WAKATI WA KU MAKE HELA HUU. FANYA BONGE LA ISHU KUJIBU MAPIGO ITAKAYO KUINGIZIA HELA. WAKE UP

    ReplyDelete
  2. dida nakupenda sanaaaa jamn wachambia majivu wajipange sasa manina zao. waige na hii sasa kama wanajiweza.

    ReplyDelete
  3. unataka awake up mara ngapi ww labda ww ndio u wake up, kwake kumekucha cku nying sanaaaaaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete