HEHEYAAAAAAA NALIRUSHA DONGO GIZANI ATAKAYESEMA YALA LIMEMGUSA KUCHAMBWA KACHAMBWA BATA NA BADO UNAMLA SEMBUSE MIE,MNICHAMBE NA MSINIBAKIZE MWISHO WA SIKU NAJUA MNAJIUMIZA PUMZI BILA MKOPO DAIMA NIPO NA NITAENDELEA KUWEPO, KAMA KUCHEZA NA CHEZA MIE VIPI JASHO LIKUTOKE WEWE?NAVAA NITAKACHO NAKWENDA NITAKAPO HAYO NIMAISHA YANGU KWANGU NAONA MNAUCHAMBA MOTO MSUBIRI KUUNGUA............ HIVI UKISEMWA KUNA SEHEMU YA MWILI UNABABUKA AU WAO BARABARA TUSHINDWE KUPITA MWENYEZI MUNGU KANIWEKA TOFAUTI WAJA MPATE KUNIJUA, HAMNA FUNGUO ZA RIDHIKI KUSEMA MTANIZIBIA NA NDIO MAANA TRANSIT ZANGU SI MSAVU KWA BABU,HAPA KWANGU SUPU MTACHEMSHA MAWE SINA NINAYEMUHOFIA ZAIDI YA MWENYEZI MUNGU ANAYENIFANYA NAPUMUA BILA USHURU KWANGU MTAMALIZA MISEMO LAWAMA AZINIDHULU, LAWAMA ANAPEWA MWANADAMU MWENYE NYAMA KAMA ZANGU NA MANENO YANGU KAMA SKIN TITE IKIKUBANA KAVUEEEE, YA NINI KUWASHWAAAA MNITUE MMESHINDWA MWANGA WA MUNGU ITAKUWA TAA YA MZUNGU,BIBI WEEEEEE WAMEKUSHINDWA MILEMBE TUTAKUWA SIE WAUNGWANAAA CHUKUA IYOOOOOOOO.

Thursday, March 14, 2013 9 Comments

Mtoto wa kitanga ninayejiamini kwangu majungu ni changamoto na maneno yao ni hip hop kwangu shuruti nacheza tu nimezaliwa kushinda na si kushindana na wajaaaaaaaa.

9 comments:

  1. hahaha haha Dida we mdada wewe sikuwezi, hayo maneno kama niliyasoma mahali kwenye comment flani hahaa sikuwezi

    Shubi

    ReplyDelete
  2. MASHAALWAH DADA UMETOKA SIELEW WALE WAJA WALOKEREKWA NA WEWE WALITAKA UENDE BLA YA NGUO SIJUI

    HAWAKUWASHIII
    HAWAKUZIMII
    WAONA DONGE LANINI
    KAMA WANAWEZA WAENDE JUU WAKAZIBE
    WANADAMU WALIMWENGU KAMA YA DIDA YANAWAKERA NA MTAKEREKA SANAAAA

    MTAONGEA MUONGEE HAMUMZIBIII HUYU DADA TUWEKEE MAMBO DIDA TUBURUDISHE ROHO SIE
    WAACHE HAO WANUKA KWAPA HATA DEODORANT HAWANA.


    ReplyDelete
    Replies
    1. Eeeh we nawe ndio wale wale itakuwa sauda mwilima wewe bila shaka,anachemkaga full stop,hata dina huambiwaga anapochemka itakuwa huyu kichekesho asisemwe kawa nani yeye

      Delete
  3. CHAMBA CHAMBA MTOTO WA KITANGA WAKUKOME KAMA WALIVYOKOMA MAZIWA YA MAMA ZAO.CHEZEA MTOTO WA KITANGA WEWE

    ReplyDelete
  4. Poyee dida yawaungwana ucyajali

    ReplyDelete
  5. na ndo maana wanaongea pembeni hawakuwezi dida ww ndo ndimu mkata shombo mburura hizo zikajipange upyaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  6. Kutapika kawaida yako dida sidhani kuna atakae shangaa kwa hili,ni kama marudio post zoooooooteee humu ni kubwabwaja tu aliekuroga kubwata kakuweza,STAHA bibie

    ReplyDelete
  7. Jasho linakutiririka mwanawane heheyaAaa pumba zote zako hizo??

    ReplyDelete
  8. Unarespond kwa habari ya kuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya China?eti wanauliza kwa mshahara gan wa utangazaji?au boutique?hadi safar ziwe nyingi>??hebu wajibu basi maana jina lako limechafuliwa na wadada wa mujini kina Jacki cliff,Nuru,etc Lilian Nyakisinda etc..Binti kiziwi nasikia kadakwa hongkong ananyea debe..usibanie isome kimya kimya

    ReplyDelete