SISHTUKI NA ZETU TUHUMA NAONA MNAMALIZA KUCHA ZENU KWA KUNIHISI NENDENI KITENGO MKAWAELEZE DIDA ANAUZA NGADA,MNAJIUMIZA SANA WACHAMBIA MABUNZI NA YANGU SASA MIMI NDIO BINGWA WA KUWASUKUTUA VIVYWA BILA MAJI,NYIE WENYEWE MIDOMO MIPANA KAMA MILANGO YA POLISI KUTWA KUYASEMA YAWENZENU MTAPIGA SANA MAVUVUZELA KWANI HNAONA MMEDATA MNANIKUBALI KIMYA KIMYA KAMA MWIMBO WA JMOOOOOO,CHEZEA MWANAMKE BAHATI HATA UKIWA BNA USO WA MBUZI NYIE MNAOJIONA WAZURI MPAKA LEO MNAZEEKEA MAKWENU HAMJAWAHI HATA KUTONGOZWA SHUTI MPK KOPE ZINA MVI,UKITONGOZWA UKIAMBIWA HAMIA UNAHAMIA KAMA AIRTEL,AHAAAAAAAA CHEZEA WATU NA NDAZYA ZAO BARAKA YA KUJIVALISHA PETE ZA NDOA MUONEKANE MMEOLEWA KUOLEWA MCHEZO NINIIIIII?NAONA MISHIPA YA SHINGO INA WASIMAMA KAMA FENI BOVU KWA AJILI YANGU MIMI NIPO SIWAHOFII MDANANDA WENYE KUSHOBOKEA VYA URITHI NATAFUTA KWA JASHO LANGU WEWE CHONGA JUU YANGU MPK MDOMO UFIKE MBELI MIMI DAIMA MBELE KAMA FUNDO LA MSULI SIJIBISHANI NA MCHAFUKOGE IZO KWANGU NI TAKATAKA BOMBAY.

Friday, March 15, 2013 8 Comments

L ZM UNIJADILI HATA KWA MGAO WA UMEME BADO NATAMBA NA NYOTA YANGU KWA NGUVU ZA MANANI SIWAOGOPI WALIOPEWA TENDA KUONJA SUMU KIWANDANI NA SIFANYI BIASHARA YA KUTWANGA PILIPILI MSHAHARA KUKOHOA BADO MTANIJADILI SANA NA MSIACHE SABABU MANENO YENU NI MBOLEA YANANIRUTUBISHA VYEMAAAAAA.

8 comments:

  1. Maneno kuntu,ujumbe umefika kwa walengwa kazi kwao

    ReplyDelete
  2. haahahahhah, watajibeba pete zenyewe za kimachinga dida hawajulikan mbele ni wapi nyuma ni wapi kazi kufuata mkumbo, umewaacha mbalii sana hatua 200000 wapi na wapi wao wako hatua ya 10 hahhahahha wajipange sana. ustaa kazi jamn uwii manina zao mafirauni wote wasiompenda DIDA.

    ReplyDelete
  3. NAKUAMINIA WAJINA! TAMBA MAMA! WAPO NA WAVA

    ReplyDelete
  4. Wape hao matahira wasokuwa na lakufanya mtu akipata ni unga nyo watu wanamwaga jasho ehehehe watatusoma wenye ndoa Na maisha yetu eti mshahara kidogo nyo kafieni mbele na kama unga deal nawe kauze kuna vichaa wa sweden hawaend hata shule midomo michafu kama nn kubahatisha tu yawenzao nyo. Midude inakeraje

    ReplyDelete
  5. sawa ila ww usituambie eti mshahara wko na kile ki boutique uchwara ndo uwe nchi za nje kila siku tena nchi za wachina china lazima kuna biashara haramu unafanya

    ReplyDelete
  6. TENAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. SHOGA ULISEMAGA UMEFUNDWA MBONA TENA WATIRIRIKA KAMA KINA MWAFIDENGE?????????

    ReplyDelete
  8. Msute na shoga ako sintah mnafki

    ReplyDelete