KICHUNA WA TIMES FM NIKIWA MJENGONI NIKITEMA CHECHE,USHAWAHI KUMUONA MTU ANAMCHAMBA NG"OMBE MPAKA KATOA MAZIWA?BASI TEGEA SIKIO LAKO TIMES FM 100.5 NIKO HEWANI MTOTO WA KIKE NISIYE NA MAKOLE YA SHARI KWANGU NI MADONGO KWA MADONGO MPAKA WATAPIKE NYONGO NITAJUA MALERIA IMEWATOKA AU SIKILIZA KUPITIA WEBSITE YETU YA WWW.TIMESFM.CO.TZ KAZI NI KWAKO KUPATA MABURUDANI KILA SIKU KUANZIA SITA MCHANA HADI KUMI JIONI,WASIJITIE UPANA WA BWANGA KAMA MFUKO WA MSHINE PATENI RAHAAAAAAAAAAAA.

Wednesday, March 13, 2013 9 Comments


 Kichuna cha kitanga kisicho jali lolote midhali kanapumua bila ushuru.
Ni swaga kusema semeni vibaya kutukanana mjini msijipe upana wa bwanga kama mfuko wa mashine pateni rahaaaaaaaaa.

9 comments:

  1. SHOGA NIMEKUSOMA KIMOYOMOYO KULEEE KWA SINTA KWENYE COMMENT UMETAJWA KAA WE NDO MTOA ROHO ZA WATU WANAKUOMBA UWAACHIE ROHO ZAO .SHOGA WAPE STAREHE HAO WASO NA REDIO KWANU NTAWEKA SAUTI YA JUU YAPATE MIPASHO

    ReplyDelete
  2. SINTA MAMITO JIPANGE UPYA HAPA MBONA C SIZE YAKO DIDA TUPA SINTA KULE ANATAFUTA PAKUTOKEA WAKATI AMESHA SAAULIKA A KUJIFANAY MATAWI HATA SHAMBA LENYE UWEZ WA KUJENGA CHUMBA KIMOJA HANA ACHANA NAE ....SHOGA NINA MUDASIJKUSIKIA MWENZIOA NAFANYA AZI USIKU KWANGU MCHANA NDIYOUSIKU C WAJUA TENA KAZI ZA CARE HUKU ULAYA NDIYOMWAKE HERI YETU SISI KULIKO HUY BI KINUKA MKOJO..ANAYESUBIRI KUHONGWA SO LEO NIKAONA WACHA NIKUWAHI ON LNE JAPO KIUSINGI SINGIZI KWELI ANAYETAKA KUPAHSANA NA WEWE LAZIMA AJIPANGE MANINA ZAKE TENA NA AFANYE BOOKING..MTOTO UNATIRIRIKA MPAKA NAONA KIPINPINDI MUDA MCHACHE....NA PIA NAPA POLE SANA KHADIJA YUSPH ONE DAY ISHAALAH MOLA ATAMJALIYA

    ReplyDelete
  3. Kuvaa shost bado sana hahah endelea kujitahidi utaweza kaone kwa sintah unavyochambwa na gunia lako ulilovaa women's day heheheyaaa we siuna mdomo kaone wenye mdomo wenzio

    ReplyDelete
  4. UMENIMALIZA KWELI WAMEKUTAJA SASA LEO LAZIMA NIFUNGULIE RADIO NISIKIE UTAKAVYOWACHAMBA. HE HE HEYA

    ReplyDelete
  5. USIMCHAMBE SINTA SHOGA WWAANDIKA COMMENTS
    DIDA WAPE HAO KUPITIA TIMES FM TU KAMA WAMETIA PAMBA MASIKIO YOA TUCHANGE TUWAPE HIZO TISHET ZENYE JINA LAKO WALISOME KILA WAKIAMKA.
    LOO WANASAHAU KUMTAJA MOLA WAO OOOH BASI DIDA HAKUPENDEZA KWANI WE ULIKWENDA KWENYE MASHINDANO YA MAVAZI BABUU
    WAKUACHE MTOTO WA KITANGA USOTANGATANGA WE MTAFUTAJI DADA HUNA MUDA HUO
    ULOPEWA NA MUNGU HUJAYAKAMILISHA .WAWEKEE SINA MUDA HUO YA LEYLA .

    ReplyDelete
  6. ila dida inajua kuwakomesha huyo sinta hana lolote mnafiki bendera ufuata upepo yake yana mshinda kazi umbea tu......na viguu vyake km banio la ugali mbururaaaaa wa kipare huyo ndo maana nature alimkomesha nyambaffffff zake.

    ReplyDelete
  7. Mbona mnatetea ujinga kwenye ukweli pasisemwe kwahiyo asifiwe tu ili aendelee kuchekesha lol sinta mbaya sababu comment anaruhusu yeye

    ReplyDelete
  8. Haya habar ya mujini ni kubebeshwa madawa ya kulevya!!!halooooo wadada mujini wanataka kuendesha magari kumbe hela zewnyewe za haramu inahuuuuuuu???aaah naipendaje sasa blog inayoachia freedom of speech tuwachambe wanaoharibu watoto wetu kuwabebesha madawa??ebo??Ole wao Jacki cliff,Nuru,Dida na wengineo

    ReplyDelete
  9. Kwani nyie mmekatazwaa kubeba! Na dida aliwaambia! Acheni hizo kama nyinyi mahodari tajeni vigogo

    ReplyDelete