BAADA YA KAZI FULL KUJIACHIA HOMEEEE NA SMINORF.

Wednesday, March 06, 2013 6 Comments

 Cheers Sandra pole kwa kupata Ajali mungu atakuafu ishallah.

6 comments:

  1. Yaani dida me nampenda sandra kuanzia pozi lake la kuongea na kila kitu yuko social sana, asijali ni mapito tu, kingine bora alivyoachana ushoga na davina yule wa magomeni amuwezi aachane atamuaribia kwenye ndoa yake bure.

    ReplyDelete
  2. Mpe poe besy wangu, now nilipoteza no yake. Its me Aisha Mrs China wa ukweli

    ReplyDelete
  3. nimepapenda kwako

    ReplyDelete
  4. Mmmh subhanallah hiyo in sha Allah unaishusha na sminof Allah atusamee

    ReplyDelete
  5. dada dida umeendeza sana na kichuna sandra

    ReplyDelete
  6. DIDI NAKUPENDA SAANA NAPAPENDA NYUMBANI KWAKO HASWA HIVYO VIMITO FORONYA ZAKE ANIMAL PRINT WOW UNAJIPENDA SAANA ALAFU WEWE NIMDADA MSAAFI SANA NIKIJA BONGO LAZIMA NIPITE DUKANI KWAKO WALAU NIKUONE KWA MACHO NIMETOKEA KUKUPENDA BURE YÚNAROHO NZURI HUPENDI UGOMVI WALA UDAKU NA WATU,ILA WAKIKUTAFUTA WANAIPATA WENYEWE KWAMANENO UNAYOWAPA TUU WANAKOMAJEE AHAHAHAHA.ME LOVE U SOO MUCH MY DADA ,UBARIKIWE SANA.

    ReplyDelete