MUONEKANO WANGU KWA SASA HATA UKIGUNA NDIO NITAKUWA MIMI,NICHAMBE NA UNICHAMBUE MANENO HAYANITOI KOPE SINA MUDA WA KUMJIBU MTU MAANA MNATUMA COMMENT ZENU KUNIJUMLISHA NA WACHEZEA PEMBENI NAWEZA NIKAFANYA BIFU NA WENYE BUSARA NAJUA YATAKWISHA MWISHO WA SIKU,ILA SIWEZI KUFANYA BIFU NA WENYE UTINDIO WA UBONGO UKU MUNGU KAWAUMBA WAZIMA ANAJIFANYA WAMEDATA ILA DARASA LA MACHIZI LIPO MTAANI KWANGU KWENYE MAMBO YA UTUMBO IZO MIMI SIO ZANGU,UNACHAMBA CHINI UMEVAA YEBOOOO KWELI MWALEEEEE MESISOOOOOOOO.
Najikubali mpaka wavaaaa PAJAMA wananielewa Sijali lolote nidoboe hunishushi nilipo naona mnadata tu mwenyezi mungu kashanipandisha daraja poleeeeni.
Japo kidogo nilichonacho mnataka kupandisha mori mie kwangu ndio kwanza mambo badooooooo.
Sitaki shari na mtu kama mnazitaka kwangu hakuna nafasi siruhusu comment zisizo na maadili humu ndani si kama nawaogopa mimi sio msungo kuanika matusi humu weee tukana lkn nazisoma mwenyewe nimefundwa nimeleleka siwezi kuweka uchafu humu,Uksema nakuogopa wewe si mungu bali nakuona mshambaaaaa tu.
Shoga umependeza adi pajama limekukubali watakaosema roho mbaya. me irene wa magomeni
ReplyDeleteUMENISIKITISHA SN KM KWELI UMEFUNDWA UKAFUNDIKA KAA KIMYA M2 MZIMA AKIVULIWA NGUO HUWA ANACHUCHUMAA NA SI VINGINEVYO. UKISHASOMA HUO UTUMBO WAO WEKA KWENYE DASTBIN KISHA KAA KIMYA. USIANDIKE CHOCHOTE HUMU YANI KITENDO CHA WEWE KUANDIKA TU BASI KM UNAVYOSEMAGA UKISIKIA YALAAAAAA LIMEMPATA M2. YANI KULA GANZI KIMYAAAAAAAAAA NDO DAWA PEKE YAKE USITOE DONGO LOLOTE HUMU KUHUSU HETERS
ReplyDeleteMashaalwah DIDA umependeza wache wachambe dada hawana lolote hao.wivu tu hao siwanunue kama wameipenda hiyo nguo au wakate nywele kama wamependa.achana nao waja wa laaana hao.
ReplyDeleteKABISAAA HAPO UMENENA MWANAMKE KUFUNDWA NA KUFUNDIKA NA KUPATA MALEZI NI BAHATI C KILA MTU KM MWAFIDENGE...HAJITAMBUI UTADHANI KAZALIWA KIJIWENI....HUWA C COMETS LAKINI UMENIGUSA NILIDHANI NI MIMI TU NAONA KINA MWAFULANI HAWAJAFUNDWA
ReplyDeletenimeipenda iyo jumpsuit yako mamy,luking gudoooooooooooo
ReplyDeleteKULIKONI TENA JAMANI, MBONA HUSOMEKI....
ReplyDeleteUmependeza mamiiiiiiiiiii.........
ReplyDeleteumependeza sana tu ukikaa kimya itakuwa powa
ReplyDeleteu look mwaaaa nakupendaga my dia
ReplyDeleteHabari yako Dida, mimi ushauri wangu kwako tuu na wala sinania mbaya maaana sijawahi kucomment hapa kwako hata siku moja na hata usipoipost hii comment ni sawa maana nia yangu ni kukushauri wewe.
ReplyDeleteMpenzi hiyo poda au faundation unayopaka usoni kabla haiendani na ngozi yako na mimi nimekuwa na tatizo kama lako kwa muda mrefu sababu ngozi zetu sio nyeusi na wala si nyeupe kama wazungu so nivigumu sana hasa kupata foundation ya ngozi zetu sema baada ya kutafuta sana sasa napaka powder tuu ya MAC japo faoundation yake sijapata inayoendana na sura yangu lakini kwakuwa wewe sura yako haina machunusi kama sie wala hauna haja ya kupaka faoundation ila zunguka tuu kwenye profession cosmetics store za huko dar utafute ingekuwa huku nje ingekuwa rahisi sana maana kila mall wanayouza kuna wataalamu wa kukushauri.
samahani kama utaona nimekukwanza mpendwa
ila napenda blog yako maana haina matusi hata sikumoja endelea hivyo hivyo na muombe Mungu hekima zaidi kila siku
Mie hapo Dada yangu Dida ndipo ninapokupenda huna makuu!Kuna msemo mmoja wa kizungu usemaaa "HATERS MAKES YOU GREATER" Kila la kheri dada yangu.
ReplyDeleteUmenikoshaaa mtoto wa kirugulu mie kwa kumpa za uso kisalata wa mtaa fulanii! Weraaaaaaa!
ReplyDeletenimekupenda zaidi na nywele fupi zimekutoa poa sana
ReplyDelete