WEEK END HII TULIKUWA HOME TU NA KICHUNA CHANGU KUSUBIRI WALI NA MAHARAGE CHEZEYAAAAAAAAA.

Monday, February 11, 2013 14 Comments

 Mama na Mwanaaaaaa kwa raha zetu bila Karaha.




 Samira ananiuliza kila Siku wadau Mama Nataka mdogo wangu nabaki A,E,I.O,U naulizwa mbona wenzagu wanawadogo zao anataka nikamnunulie mdogo wake ivyo nina Maswali kila siku choka mieeeeeee,Nasubiri manusura mtoto ananitaka nini mieeeeeeeeeee,ivyo naulizwa tena namleta lini namtazamaaaa simmalizi KAZI NI KWANGU Kama wewe mwenzangu ungemjibuje mwanaoooooo?





14 comments:

  1. kama ningekuwa mimi ningemwambia asubiri afike darasa la saba aweze kumuhudumia mdogo wake

    au nampa moyo namwambia bado kidogo atakuja

    ReplyDelete
  2. Mtafutie tu Dida mdogo wake, kwani mbona mkubwa sana, mradi baba awepo.ila ndugu yangu nakupendaga sana kwako kunaonekana kusafi. mimi Irene wa Magomeni Kagera.

    ReplyDelete
  3. mwambie kuwa kupata mdogo wako ni tabu kws uliachana na mwenza wako kwahiyo unasubria atakaye jitokeza tena akuoe,kwahiyo hatakusumbua tena,mi AMINA-Mtwara

    ReplyDelete
  4. Dida kwako kuzuriiiiiii

    ReplyDelete
  5. dida wewe nimsafi mwanao mzri wewe mwenyewe mzuri naapenda saana,mimwenzenu adi leo natafuta mtotosijapata nimeolewa mwaka 3sasa,ila najua ipo siku mungu tanijalia na mimi natamani napona uko namwanao.mungu awabariki nikija bongo nitaja dukani kwako mie naitwa mdada waulaya snow ndio jina langu hilo dida nikija nikukumbusha hilo jina then tutaongea zaidi ,maana humu siwezi taja majina yangu.niko sweden

    ReplyDelete
  6. Ningemwambia tusali hadi Mungu amletee

    ReplyDelete
  7. Ha ha ha ha ha anakutega mwambie afike darasa la tano ndio utamletea mdogo wake

    ReplyDelete
  8. jamani mnapendezea ni vizuri muda mwingine kukaa na mtoto nyumbani c kila mara mama mara safari mara ofisin hongera mwanao kawa mkubwa!mie ningemwambia tuombe mungu ipo siku mdogo wako atakuja ila kwa sasa bado kwanza

    ReplyDelete
  9. oops wa kwangu kila siku ni wimbo wa taifa juu ya hilo
    pole

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mi pia mwanangu ananisumbua sn!anamiaka 11analalamika sn akirudui hom likizo cna amani! but maisha nayo yanachangia kutozaa mapema.

      Delete
  10. ohh dear pole kwa maswali, naungana na alisema umwambie unasubiri akifika darasa fulani akusaidie kulea.

    ReplyDelete
  11. Dida mie nakupendaga tu the way ulivyo na maisha yako. Samira anataka wa kucheza naye, mwambie Inshaallah Mungu atajalia atapata mdogo wake yeye akazane na shule kwanza. Nyumba yako ina mpangilio msafi hongera mummy. Mama Ebenezer wa Kigamboninooo

    ReplyDelete
  12. mh yàni hawa watoto wa kwngu alinisumbua mpaka basi.mara ananbie mama mbona wewe na dada zako mnapendana mi sina mdogo wangu,mpaka siku moja kamwambia baba ake eti Baba mi namtaka mdogo wangu,sasa nimejifungua cha ajabu anamwonea wivu,mara nami nataka unifanyie hiki kama mdogo wangu,mara Mama hunipendi unampenda tu yeye,huyu ana miaka 11 huyu miezi sita.

    ReplyDelete