WEEKEND YANGU WADAU NILIITUMIA IPASAVYO KWA KUJIPUMZISHA NA KUJIPANGA KWA AJILI YA KIPINDI CHANGU KIPYA CHA TIKISIKA KIPWANI NA DIDA KINACHOANZA JUMAPILI TAREHE 10/02/2013 NDANI YA 100.5 TIMES FM. WADAU WANGU KAENI MKAO WA KULA...

Monday, February 04, 2013 9 Comments













9 comments:

  1. Hongera unafaidi ila nilikuuliza vp msiba wa SAJUKI hukuussikia au? maana hata pole kwenye blog yako hamna.

    ReplyDelete
  2. naipenda sana lifestyle yako DIDA

    ReplyDelete
  3. mydia wapi hapo nasie tujitoe. its beautiful place. very cozy. please info mydia dida. u r really having fun.

    ReplyDelete
  4. Chezea didaa hongeraaaaaa maisha umeyapatiaaaa....

    ReplyDelete
  5. Everything was on point! Raha jipe mwenyewe haswaa!! tujuze hapo ni wapi na sie tukajipumzishe week end hii.

    ReplyDelete
  6. Mamii naona umepoz kijiji beach. Upo juu

    ReplyDelete
  7. Jiachie kwa raha zako mwaya, no more stress dia

    ReplyDelete
  8. Mama wa Dida upo juu sn! kusema ukweli umeyafaidi maisha. raha jipe mwenyewe, wala usijari maneno ya watu. Nakupa bg up mama dida mama mitikisiko umeitikisa bongo/tz mwwwwwwwwh

    ReplyDelete
  9. kama si2 ambao tupo mikoani tunaweza kupate bidhaa kutoka dukani mwako? make unabidhaa adimu sn.

    ReplyDelete