Ya Lotus yawakumba DKB & Zainab BigBrotherStarGame!

Tuesday, June 05, 2012 1 Comments




DKB mshiriki kutoka Ghana na Zainab mrembo wa SieraLeone wamechapana MAKOFI na kutolewa ndani ya jumba la BBA Upville kwa kuvunja sheria za ushiriki ktk mtanange huo

DKB alizozana na Zainab akimtuhumu kumchungulia bafuni wakati anaoga, akamtaka kutorudia tena kumchungulia otherwise atam-SLAP! ......mtoto wa kike akapanda kiburi na kumjibu "r u f****ing crazyy? slap me now, why dont u slap me now Bitch******  DKB akampa kitasa cha mashotooo, Zainab akajitetea na kumrudishia kiana. Hii stori inanikumbusha BBA Amplified msimu uliopita ambapo mshiriki wetu Lotus alimSLAP Luclay kutoka SouthAfrica na kutolewa ktk shindano

1 comment:

  1. Dida sio siri siku hizi ktk blog yako huna jipya kama umeishiwa c ufunge tu blog.... Me kila nikiingia siona cha maana kazi yako ni kucopy na kupest thats it,, Pia blog yako haina mpangilio wamaana maneno yameingilia yaani hovyo hovyooooooooo.. Inaboa bwana.. Iga mifano ktk blog za wenzio....

    ReplyDelete