KILI YAMALIZIKA KWA FUNIKO DAR

Monday, June 04, 2012 0 Comments

Kili Awards Winners Tour ilimalizika juzi jijini Dar katika viwanja vya Posta Kijitonyama na kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki, ambapo zaidi ya wasanii 14 walishiriki huku wote wakiwa nin washindi wa tunzo hizo za mwaka 2012, na hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa usiku huo...







0 comments: