EBSS WALIPOZURU NDANI YA "MITIKISIKO YA PWANI" JANA
Dida, Madam Rita na Mwakilishi wa Zantel kulia |
Madam Rita Mkurugenzi wa Epiq Bongo Star Search EBSS aliambatana na Mwakilishi wa ZANTEL kuzuru ndani ya Studio za 100.5 Times Fm na kufanya nao Interview ktk kipindi cha "Mitikisiko ya Pwani" kuhusiana na Vipaji vitakavyovumbuliwa mwaka huu ndani ya Bongo Star Search chini ya udhamini mnono wa EPIQ NATION kutoka ZANTEL
“Epiq kupitia ofa yake ya Epiq moto,inakuwezesha kupiga mitandao yote
kwa Tsh1/sec masaa 24 kila siku, kutuma meseji kwa Tshs 25,
50mb bure
mwezi mzima na kuanzia saa tano usiku ni BURE zantel kwenda zantel,
jiunge na Epiq moto kwa bonyeza*149*09# na kufuata maeolekezo
0 comments: