MILIONI 10 ZA RAMBIRAMBI YA RAISI ZILIPOKABIDHIWA KWA MAMA KANUMBA

Thursday, May 31, 2012 0 Comments

Watanzania tumefurahishwa sana na kile serikali imefanya kwa kumkumbuka mwigizaji maarufu sana na aliyeitangaza nchi duniani akiwa na umri mdogo sana, Steven Kanumba.
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Dk Jakaya Mrisho Kikwete kwa kututhamini sisi wasanii wa Tanzania.., serikali yetu ya Tanzania imetoa milioni kumi kwa famila ya marehemu Steven Kanumba kama rambirambi ya serikali yetu. Familia ya Steven Kanumba (Jembe) na wasanii wote Bongo Movie  tunawashukuru sana.


Mh. Amos Makalla akisalimiana na Mama mzazi wa Steven Kanumba

.


Naibu Waziri wa Utamaduni na Michezo Mhe, Amos Makalla akiwasili nyumbani kwa marehemu Kanumba kwa ajili ya kutoa rambirambi


Mheshimiwa akiwa makini kufuatiliia ratiba zinazoendelea..

Mama wa marehemu (Mama Frola) akiwa na majonzi akisubiri kinachoendelea.

Mtitu Game mkurugenzi wa Game 1st Quality

Mh; Amos Makalla akiongea machache na vyombo vya habari .



Mama wa marehemu akiwa na Mh; Amos Makalla.
Mh; akiwa ameshika kiasi cha milioni kumi(mil 10) kwa ajili ya kukabidhi kwa familia ya marehemu kama rambi rambi ikimwakilisha Mh. Rais Jakaya Kikwete na Serikali yake.

Kabla ya kukabidhiana mama aliongea machache na kutoa shukrani zake kwa serikali..

 
Mama akipokea pesa hizo kwa majonzi makubwa

Mama wa marehemu akionyesha kiasi cha fedha alichokabidhiwa kwa niaba ya ndugu na jamaa waliokuwepo

Mama akisaini mkataba toka kwa mwanasheria wa Wizara habari utamaduni na michezo

Seth(Mdogo wa marehemu) naye pia alisaini kama shaidi.

Mh; akisaini.

JB

Mtitu na Mama wa marehemu.

Jack wolper

JB na Tino.

The Greatest nikiwa na mama tukiteta jambo.

The Greatest.

Mama Frola na The Greatest.

Dada wa marehemu(Bela ).

Jenifer Kyaka akiwa na Mama wa marehemu.

Jenifer Kiyaka na Mama Asha Baraka.

Steve Nyerere mkurugenzi wa kampuni mpya ya kisasa inayotambulika kwa jina la OS akiwa na Mh; Amos Makalla Baada ya matukio yote kuisha

0 comments: