MAKAMUZI YA DIAMOND EVICTION SHOW YA BBA.... IK AMFANANISHA NA R. KELLY

Monday, May 28, 2012 2 Comments

 
 Diamond kama kawaida yake alikamua vilivyo ktk Eviction Party ya BBA StarGame jana usiku kiasi cha kushangiliwa sana na baadhi ya fans walijaribu kupanda stejini ili wacheze nae lakini wakazuiliwa na Baunsa

 Mampi kushoto akiwa na shosti wake Maneta kabla IK (picha ndogo) ajampa taarifa za kutolewa ndani ya jumba la BBA 


WADAU PICHA HIZI NILIPIGA HOME WAKATI NATAZAMA SO MNIWIE RADHI MUONEKANO SI MZURI.




2 comments:

  1. sio R.KELLY Jamani hata sis tumeona nI Michael Jackson...........

    ReplyDelete
  2. huyo dogo hafai mi namkubali keep it up

    ReplyDelete