TIMES FM TULIVYOIGAGADUA MKURANGA JANA, MWANAMBAYA 2 - 4 TIMES!
Mkurugenzi Mtendaji na Mmiliki wa team ya Times Fm The Dream Team Rehure Nyaulawa A.k.A Abromovich |
Times Fm (The Dream Team) jana jioni waliicheza mechi ya kirafiki na
Mwanambaya Katika ufunguzi wa uwanja wao katika kijiji cha Mwanambaya
Mkuranga mkoani Pwani.
Mchezo Uliomalizika kwa Times Fm kuibuka Kidedea kwa ushindi wa magoli manne
(4) kwa mawili (2).
Wanambaya walitokeza kwa wingi sana |
Mashabikiii kibaaaooo hadi waliotoka mbalii walikuwepo |
Dimbani tulipo wapiga nyingoi wana Mwanambaya, Times wamevalia jezi nyeupe na nyekundu wakati Mwanambaya wametinga uzi wa kijani na nyeupe |
Wachezaji Times FM The Dream Team wakifuatilia kipute kwa makini |
Wafuatiliaji A.k.a Makamisaa wa Kandanda hilo hawapotezi pointi |
Wanambaya wakitokwa na kijasho chembamba |
0 comments: