HAPA KAZI TU, UDASHOSTI BADAE

Thursday, May 24, 2012 0 Comments

Vijana Kazini! 
Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Mh. January Makamba, akikaribishwa makao makuu ya Vodacom Tanzania na Ofisa Mkuu wa Mahusiano na Mauzo kwa wateja wakubwa Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba. Naibu Waziri huyo alifanya ziara hiyo ya Utambulisho Vodacom na kukutana na uongozi mkubwa wa kampuni hiyo!

0 comments: