WADAU KUHANGAIKA HUKU ILA NIMEWALETEA MALI MPYA. HIVI NI BAADHI YA VITU FIKA DUKANI DIDA CLASSIC BOUTIQUE UJIONEE..

Monday, November 14, 2011 8 Comments


Hizi simu zipo za kila rangi na design tofauti kwa bei nafuu.

Hii ni mikanda ya kiunoni pia kuna Cheni,hereni za kila aina na vingine vingi.

Haya kazi ni kwenu maana..
Suti za kike.


Suti za kiume.



Vikoti vikali vipo kila rangi.
Magauni ya kila Aina wewe tu mdau wangu






Skirt za ofisini na Blauzi zake za kila rangi.



Karibuni sana na mambo mengine mengi pamoja na Dawa za kupunguza Unene zipo.

KARIBUNI SANA,
DIDA CLASSIC BOUTIQUE
Kona ya StuDiO kuelekea KinOnDoni VIJANA

8 comments:

  1. DIDA YOU HAVE A CHOICE MUMMY. TUTAKUJA DUKANI KWAKO.

    REHEMA

    ReplyDelete
  2. HIVYO NDIVYO INAVYOTAKIWA. MWANAMKU KUJISHUGHULISHA SIO KUPIGA DOMO TU.
    KEEP IT UP MUMMY.

    REHEMA

    ReplyDelete
  3. vitu vizuri Dida hongera hizo skirt za kwa office How much mdada tukifunga safari tuwe fullfull

    ReplyDelete
  4. BEI USIJALI MDAU BEI RAHISI TU NAJUA SOTE TUNATAFUTA SIWATANDIKI BEI KUBWA KARIBUNI MSIHOFU.

    ReplyDelete
  5. u have nice choice mama hongera nitakuja nimepa hiyo suti ya kijivu
    mama B

    ReplyDelete
  6. Tuambie bei inaanzia kiasi gani?

    ReplyDelete
  7. DIDA ushauri tu mwaya,penda kuweka na bei ili mtu akija ajue afungashe sh ngapi,pia hizo dawa za unene advertise bs na humu tuzione na bei pia utuambie mwaya,twataka kupungua sie.loooo niwe na mwili at least km wako shost

    ReplyDelete
  8. ni kweli kabisa,ni vizuri kuweka bei,hata kama sio exact unaweza kusema inarange kwenye bei gani..mtu unapata uvivu kwenda kama hujui bei.

    ReplyDelete