MUDA WANGU WA KUKAA HAPA UMEKWISHA NINA MASAA 18 KWENYE NDEGE KUFIKA HUKO NINAKOKWENDA USIJALI NITAKUJUZA.

Saturday, November 05, 2011 1 Comments

Muonekano wa hoteli kwa nje mandhali inavutia.
Hii ni korido ya hotel ni pasafije.

Hii ndio room yangu.


Ukichoka kulal unajipumzisha hapo kucheki movies.kama home aiseeeee.





Naelekea kupata dinner nielekee Airport.






Karibuni msosi.

1 comment:

  1. HICHO KILICHOKUFANYA UWE NA RANGI YA CHUNGWA NA MIMI NAKITAKA. UKIRUDI NITAKUJA DUKANI KWAKO. UMEPENDEZA MUMMY. SAFARI NJEMA.

    REHEMA.

    ReplyDelete