WADAU NIMEINGIA JANA NIKAKUTANA NA TAIFA STARS TRANSIT WAKIRUDI BONGO WAKIWA WAMEIFUNGA CHAD 2-1 NDEGE NZIMA RAHA WALLAHI.

Monday, November 14, 2011 4 Comments







4 comments:

  1. yaaani ulivyombaya shost sijui unaringaga nini?loooh siwasura si umboooo.

    ReplyDelete
  2. hi dida, najua upo biz sana lkn jitaidi ku update blog yako bwanaa, inalala mnoooo,

    ReplyDelete
  3. mungu akuzidishie baraka teleee,yaaan umepiga hatua vya kutoshaaa hawakuwezi tenaaaa na wala hawakushiki tena shostyy!!!!!!!!! mtoto unachezea dola kama huna akili nzuriii,na unazidi kunonaaa...love u ma best

    ReplyDelete
  4. hi dida.kwanza kabisa nakupongeza saana unabidii na unajitafutia maisha kwajasho lako.wewe nimwanamke shupavu na unaweza,wala mtu asikurudishe nyuma kwa msg zakijinga,wewe anonymous hapo juu uliendika msg kuwa dida nimbaya hana sura wala umbo jitokeze wewe tukuone,naujue kuwa alietuumba binadamu woote ni Mungu ,nyie ndo wale mnocheka hata vilema ,naunambiwa usitukane mamba kabla hujavuka mto,napenda kukuliza je umesha bahatika kupata mtoto weeye unaesema wenzio?unajijua ulieandika msg hiyo unatafuta laaana kama ujazaa basi ukaekimya utajalia badae nakujuta.dida usijali wewe nimrembo saana dear,mchapakazi utegemeee kuchuna wanaume wawatu unamumeo,hiyo yooote nimtu mwenye chuki na wivu ndiomana tunaambiwa wabongo hatupendani kutwa majungu,chuki,roho zakwanini,songambele my dear,wala usiumie yanawauma wanaona kilabaada ya muda unasafiri kufanya shoping zamanunuzi ya duka lako yanawauma .hawakuwezi mpendwa mimi niko sweden lakini huwa nakufuatilia saana bloguni humu naunavyo chakarika nakupenda sana kwabidii zako songambele dada na Mungu anazidi kukubariki nafamilia yako.usiwajali mafisadi hao.vijiba vya roho vinawauma na bado.mashetani kabisa. love u dida ubarikiwe milele.

    ReplyDelete