Muonekano wa jukwaa ndani ya diamond Vip Hall.
Nembo hiyo ya 8020.
Alizindua Nembo yake nyingine hiyo unayoiyona kwa ajili ya mavazi B2A uko juuuuu.
Shamim na shost yake Monica Wakilia na kukumbatiana kwa furaha.
Akizungumza shamim uwepo wa sisi pale kushoto Dina marios ambaya alikuwa MC wa shughuli nzima.
Ujumbe wa Ankal Michuzi kwenda kwa shamim ukisomwa na nyongo mkalia ini wake maneno yalikuwa kuntuuuu.
Mashoti zake Shamim kina Mbonnie masimba wakimkabidhi Tuzo shost yao kwa kazi nzuri.
Hapana chezea mamaa ya sweden Hawa mkamba akicheza na tuzo waliyompa shost yao kivazi mmekisoma au mnaangalia tu.
Namzimikia sana Linnah kwa kweli ningekuwa muimbaji mbona mngenipiga mjini mungu alilijua mapemaaaa.
Linah,Junaithar mamaaa ya Bbm.
Isha mashauzi alitutumbuizaje?
Mhhhhhh .
Weeeeweeee BBM itakuuua unabofya tu.
Dida mwanamboka mamaaa shughuli.
Jokate kama unakaa ulaya kumbe tupo wote bongo?unaogea maji gani jamani au siye ya chumvi yashachakachuliwa vilui lui kibao unatishaaaaaaaa.wataji JB mpiana mwaka huu.
Mmetishaaaaaa.
Mashost zangu wa ukweee.
Lemina mzuka umepanda.
Amber rose,Dida.
Dida,Jlo
Madada watafutaji mjini pendeza mbaya.
Yaaani we acha tu sisemi .
Mwanadada huyu kanikonga hapa tu jamani hiyo cheni ya ukweli bibi unasimamisha nyumba na madirisha mjini sitaki mieeeeeee.
Monica Mamaaa JJ,Luluu kiluvia.
Usipime.
Mama Kimora nini tena mkono kushavu,kulia Hawa whiteley hapana chezeyaaaa.
Shamim,Dida.
Hongera bishost kwa kweli asiyependa mafanikio ya mwenzie anakijiba cha roho kaza buti mamii utafika utakapo ukweli utabaki kuwa pale pale uko juuu sana.
Kweli Mama JJ Kafanya Kazi Nzuri ya Mapambo. Ukumbi Ulipendeza. Simplee Lakini Hatari. Wakina mama sasa Tupeane tafu Dida.huyu Dada Tumpe sapoti.Sio kila siku Majina makubwa tu.Tunaweza.
ReplyDeleteJamani palipendeza mnoo tena saana, shamim uko juu kuwakutanisha mashostito wote hao wakaacha michongo yao na kukujali si kazi ya kitoto, inaonyesha ni jinsi gani shamim ni kipenzi cha watu. Love sana Hawa Mkamba Umetoka ile mbaya.
ReplyDeleteDIDA UMEPENDEZA MAMII. YOU LOOK SO GOOD. YOU HAVE A CHOICE. KEEP IT UP MAMMY.
ReplyDeleteshughuli ilipendeza sana tumeimisije duh!!!
ReplyDeletejamani dina ni ajeee?nguo gani hyo umevaa kama kibibi?hebu jiangalie,uliiokota wapi hyooo yani wee hujui kuvaa jamani
ReplyDeletewewe mbona coment zako huweki ukikosolewa na watu kuhusu uvaaji wako umeona ya dina tuu.....we mwenyewe hujapendeza,fala kweli we mwanamkeee,nyooo na zakwako weka unazochambwa..
ReplyDeletehalafu umemuweka mwenzio picha mbaya ili aonekane mbaya au?japo hajapendeza lkn humpati kwa uzuriii..sura lako zito kama matako.
ReplyDeletemmh picha zako quality yake sio nzuri.acha kutumia mchina,angalia mfano kwa wenzio.ila ulipendeza sana.lov u!
ReplyDeleteKWANI HIYO COMMENT YA DINA KWAMBA HAJAPENDEZA IMEANDIKWA NA DIDA? MBONA MNAHISIA MGANDO NYIE? HATA KWENYE BLOG YA DINA WATU KIBAO WAMEMWAMBIA HAJAPENDEZA. ONGEENI YALIYO NA MAANA MSIWE NA MAWAZO MGANDO. DIDA ULIPENDEZA MUMMY. YOU HAVE A CHOICE. KAMA SURA KILA MTU DUNIANI NI MZURI. WAJINGA WAJINGA WAPOTEZEE. UMEWAACHA MBAAALI.
ReplyDelete