JAHAZI MORDEN TAARAB KUTAMBULISHA NYIMBO ZAO MPYA KWA WAKAZI WA KIBAHA LEO 2/11/11

Wednesday, November 02, 2011 0 Comments

Kundi zima la Jahazi Morden Taarab likiongozwa na Mzee Yusufu linatarajia kupiga show kabambe katika ukumbi wa CONTENA Kibaha, sambamba na onyesho hilo JAHAZI watapiga nyimbo zao mpya kwa mashabiki wao wa Kibaha jumatano ya leo 2/11/2011 pamoja na zile zilizotamba kipindi cha nyuma.

Jahazi wataimba nyimbo zao mpya ikiwemo "Zibeni njia msizibe Riziki" na nyingine kibao zilizotoka hivi karibuni. Mbali na Jahazi pia kutakuwa na show kali kutoka kwa BAIKOKO vijana machachali kutokea Tanga

Mzee Yusufu akicheza sambamba na wacheza show wake


Wacheza show wa Baikoko wakikata viuno ktk moja ya show zao

0 comments: