Fabak Fashion na Njeje walivyofanikisha USIKU WA KANGA ZA KALE.....
KILA VAZI UNALOLIONA LINAPATIKANA KWA ASIA IDARIOUS Fabak Fashion iliyopo Mikocheni opposite na Kwa Mwl. Nyerere
Asia Idarous Khamsin akiwashukuru Njenje kwa kufanya naye onesho hilo kwenye kiota chao
Waziri Ally akimpongeza Asia kwa ubunifu; Asia ni mwanamitindo wa kimataifa na mkongwe ktk fani hii kwa zaidi ya miaka 30... akiwa na rekodi ya kufanya maonyesho 83 nchini na 19 nje ya nchi
Asia na mamodo wake
Asia akipita mbele ya kadamnasi
Mamodo wakila pozi baada ya onesho
Modo akitoka na vazi la Kanga za kale
Supa modo wa kiume Martin Kadinda akiwa kazini
Supa modo wa kiume akionesha Kanga za kale
Kanga za kale
Shati la kitanashati la Kanga za Kale
Kila aina ya mitindo ilioneshwa
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDelete