Vifijo nderemo na Chereko Bethy na Steven walipouaga ukapera jana... hongereni sana!

Sunday, June 26, 2011 1 Comments

Isha Mashauzi akimuimbia Bethy "Kila mtu na mtuwe"

Kabla ya kufunga ndoa yao Bethy aka Natasha ol tha way from Scotland aliagwa na ndugu na jamaa ktk SendOff party yake iliyofanyika LandMark Hotel Dsm

Furaha ilitawala na full kuserebuka

Dida show love na rafiki wa ukweli Bi. Harusi Bethy pembeni akiwa na best wake

Bwana Steven na Bestman wake wakiwa wametulia pembeni ktk sendoff party ya mkewe alhamis ya tarehe 23 june


NDOA ILIFUNGWA KTK KANISA LA MSIMBAZI NA BAADAE RECEPTION NDANI YA
HELLENIC CLUB


Elizabeth na mumewe Steven wakishow love na baadhi ya wageni waalikwa ktk sherehe yao ya Hausi iliyofana sana ukumbini Hellenic Club, Dsm

1 comment:

  1. Kwa mara ya kwanza tangu nimjue Isha Mashauzi leo ndio kavaa nguo ya kumsitiri hayo manyonyo yake...

    ReplyDelete