JANA NILIKAA NIKIFIKIRI NIWAPE DOZI GANI WAJA WENYE ROHO ZA KUTU NIMEWAPA MSASA BOFYA CHINI.

Wednesday, May 25, 2011 18 Comments



18 comments:

  1. Dida napenda hizo nguo zako unanunua wapi? kila event unazo za tofauti, safi sana.

    nina advice, naomba utafute mtaalamu wa blog au kama ni we mwenyewe uweke kitu ambacho tukifungua tunasikiliza times fm live, hasa katika kipindi chako mwana itanogaje...tunatuma macomment live

    fatilia hiyo....

    good day.

    ReplyDelete
  2. ovyoooooooooooooo ndo nini sasa?ujinga tu

    ReplyDelete
  3. love hivi kwa nini hao wajinga wanakunyima amani mpenzi unajua the way unavyo wajibu ndio unawapa nafasi kwa nini usiachane nao na kuendeleza maisha yako kma unavyo pambana ukweli mie hata siku 1 binadam mwenzagu hawezi kuninyima amani na siwezi kumpa nafasi hata siku 1 kumuonyesha kwamba nauona huo ujinga wake nadhani una mambo mengi sana ya kufanya kimaisha mpenzi kaza buti achana nao wabaki tu wanasoma no hilo ndio la muhim binadam hatuna wema wala shukurani tunapenda kushushana chini always mie ukweli I just like u so much ila naumia sana nikiona unabisha na hawa wasiojua la kufanya zaidi ya kuwashusha wezao chini na siku zote ukikaa kimwa hakuna unacho poteza zaidi ya kuonekana mtu wa maana na kuwafanya hao wapuuzi wajiulize imekuaje hatujibu live ure life Na ure lovely bby

    ReplyDelete
  4. mambo dida,maneno yako kuntu hao wenye roho za kutu wameshapata vidonge vyao na waambie aliyepewa kapewa bibieeeeeeeeee watabakia kukonda sie tunakula bata.mulika mwiziiiii.

    ReplyDelete
  5. Jamani kuwa na elimu ni vizuri saaana. Huwezi poteza muda wako adhimu kuanza kubwata hovyoooo!

    ReplyDelete
  6. we mtoto usingezaliwa mama yako angepata kansa mana unavituko balaa ila unanichekesha sana, the way unavyoishi. naungana na mwenzangu ni kweli utuwekee kipindi chako katika internet tuwe tunasikiliza. kama kina dina wa clouds

    ReplyDelete
  7. Ni kweli huyu mtoto balaa,vituko kama Kenya vile.Duuuuuuuu!Ama kweli Mchops yalimshinda kiukweli.Mshaurini jamani abadilike,ajitambue,kishakuwa mkubwa sasa.Hayo mambo ya bahati nk so ishu coz hakuna mwanadamu asiyepata riziki,anajidanganya.Ila huyo mtoto ana akili sana sjui kwa nini hakusoma.Angekuwa mtu mzuri sana ktk kuisaidia jamii tofauti na jinsi sasa anavyojaribu kuipotosha jamii.Hatukatai hayo mambo yao wanayojadili daily ni kweli yapo ila yeye hakutakiwa kuyahamasisha bali alitakiwa kuyakemea,na kuishawishi jamii kutopoteaza muda ktk hayo.Bt instead yeye ndo anachochea.Yaonyesha kabisa ni ishu zake binafsi baina ya watu wake,sasa mambo ya kibinafsi si ya kuieleza jamii.Fundisha kina mama wenzio mbinu mbalimbali za kujikwamua na umaskini uluopo,jinc ya kujishughulisha ujasilia mali nk.Hongera zake lkn anajituma sana ila ndo faida hakuna.

    ReplyDelete
  8. Mie na elimu yangu ya kumwaga nimesoma mpaka nimefika mahali nimeambiwa hakuna mwalimu tena unajifunza mwenyewe na mtu akiniletea za kuleta simkopeshi nampasha hapo hapo, mambo ya kusemea pembeni na majungu ni ya waisoma sie tuliosoma tunakupa kavu live kisha tunaanza mbele, kesho nakusalimia kama siye yule tu, kwani ya jana yamekwishapita. Na huo ni usomi sio kuweka mambo vibarazani kusengenyana mambo kupeana live kama kwa bibie hapa.

    ReplyDelete
  9. Mambo Dida My dia, mi nakushauri ujaribu kupata vitu vya kila wakati ilitunapo funguwa tupate burudani, punguza kujiweka wewe tu, tafuta habari nyingi za jamii! kaza buti mamii!

    ReplyDelete
  10. abadilike nini na hapa anaelimisha jamii, kwani anayoyasema yana uwongo gani, kutwa mko kwa waganga kurogana na usomi wenu mara fulani kanikalia vibaya, mara nataka cheo, mara namtaka mume wa fulani mara nataka bwana mzungu, yaani watoto wakike hamuishi visa. Kama si hayo basi kuwasema wenzenu kuwa wamefanikiwa kwa sababu ya ushirikina au kwa kutembea na mabosi wao. Wacha Dida aseme ukweli maana mnajidai wasomi lakini hamna lolote na wenye kuhitaji kujirekebisha ni nyie wenye tabia mbaya tabia ya kwanini mtaiacha lini.

    ReplyDelete
  11. Tumechoka na hao wanaojifanya wanakusihi, kwani wamelazimishwa kucomment jamani??? hao ni sawa na BABY WORKER zinazong'ang'ania barabarani kutujazia foleni tu, hebu tuacheni kwa raha zetuuuuuuuuuuuuuu, wape mama wamezee na maji wakivimbiwa wajibebe................LOL

    CHUJENI MNAYOTAKA KUCOMMENT KABLA HAMJAANZA KUTYPE NDO MAANA YA SHAKE WELL B4..............

    ReplyDelete
  12. ungekuwa mzuri wewe dida sijui ingekuwaje watu wasingekunywa maji ndio mana mungu kakunyima kila kitu

    ReplyDelete
  13. WATU HAWANA ROHO MBAYA NA WEWE WALA HAWANA ROHO ZA KOROSHO KWANI WEWE UNA NINI HASWA? WANAKUELEZA UKWELI UMEZIDI KUJISHEBEDUA,

    ReplyDelete
  14. blog yako ya kipashkuna na ujinga usio na mana unaacha kuweka vitu vya mana kila wakati unatuwekee upuuzi tu wa maneno yasiyofaa, badilika fanya kazi sio kubwabwaja kila wakati

    ReplyDelete
  15. aa wapi mi simo hivi dida si utakuwa mtamu sana ww tena na dododma ipo tuwasiliane fredmsanii@yahoo.com

    ReplyDelete
  16. Kama hamna cha kukomment kaeni chonjo jamani?

    ReplyDelete
  17. hivi mnaocomment umbea sijui anapenda kujiashua,aweka mambo ya maana kwani hizo blog za kizungu na zenye maana hamzijui!!?Mmeng'ang'ana na hii ya dida ya kipashkuna kama sio wenyewe mnapenda ukihisi hayakufai si ufungue blog nyingine kwani huyo dida alisimama jukwaani akaomba msome blog yake kuweni wastaarab ukihisi umefika kituoni shuka wenzio wanaendelea na safari!!!!!! kama haya maneno yamentia mtu kidonda atie jiviii...

    its me mkalok....zenjiiii

    ReplyDelete