CHAMBUA KAMA KARANGA INAITWA HII.

Tuesday, May 24, 2011 23 Comments

Naomba niwaulize nyie binaadam ambao mwenyezi mungu amewapa upeo wakufikiria vitu potofu kwa wenzenu,Hivi binadamu huwezi kufanya yafuatayo kwa uwezo wako ila kuna wengine hudiriki mpk kuwaita wenzao si bure wamekwenda kwa waganga ndio maana wamefanikiwa,kwa mfano UKICHUMBIWA,UKIFAULU KIMAISHA NA HATA UKIWA NA MWENDELEZO WA VITU VYA MAANA KWA KUJITUMA KIMAISHA,Wao kauli yao ni moja si bure fulani mshirikina hamna haya na mmesahau kuwa munguyupo na anagawa kwa Riziki kwa mafungu kila mja na ridhiki yake,Na wewe unayewaza ushirikina ujue kiringeni mwanachama,na labda ulimjaribu mwenzio umemshindwa kwa uwezo wa mungu hayajampata unatangaza ubaya na kama unahisi wenzio hawafanikiwi bila waganga nenda na wewe MABANGO YAMEBANDIKWA MGANGA FULANI ANAPATIKANA HAPA KAMA VIPI ZAMA NA WEWE TUONE, HUNA BAHATI HUNA SUBIRI UPEWE UTAANGAIKA SANA KAMA HUKUANDIKIWA HAIITAJI USHINDANIKWA TAARIFA NDIO MAANA VIDOLE HAVIFANANI, Hamna lolote chuki na choyo kimewaandama walimwengu ndio maana hatufanikiwi kwa kuendekeza umimi,Hayo ni yenu binadamu ambao mnaishi na MAHIRIZI HAMJIAMINI BASI MTAMALIZA MISEMO LAKINI MWISHO WA SIKU LAZIMA UWEKE NUKTA, Wenzenu jimbo jema tumekoshewa jamani.ACHENI HIZO MSIO NA HAYA JIWE NIMERUSHA GIZANI UKISIKIA YALAAAAAA MSG SENT.

23 comments:

  1. Heheeeeiiiiiiiiaaaaaaaaaaa, wape na maji wamezee maana ukiwaambia wa SHAKE KABLA HAWAJATUMIA HAWAELEWI...........hahahahahahahah nicheke nizidi kunenepa mie

    ReplyDelete
  2. dida m2 wangu unatisha wakati nilipokuwa binti nilikuwa na bahati sana ya kupendwa pale mtaani kwetu wakawa wanasema mama yangu amenipeleka kwa mganga ni kafanyiwa dawa kumbe hata waganga wenyewe siwajui,wamepe vidonge vyao hao kama vp waambie wakajioshe pwani na maji ya bahari watoe mikosi,naomba namba yako ya mitikisiko ya pwani.uuureeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  3. we nae blog imekushinda sasa, mana huna cha ku update unabaki kuandika mambo yasiyo na kichwa wala mguu.

    ReplyDelete
  4. Bismillah, aya wenye nayo uwanja ni wenu fukueni matusi hadi ya karne 45 muungwana atakubali tu kama yamemgusa atajirekebisha

    By mama samira!

    ReplyDelete
  5. SHAKE WELL BEFORE USE, HEHEHEHEEEEEEE,

    Dida wee acha tu, mie kuna mwanaume aanikera ajabu yaani utafikiri umemdescribe hapo juu ana roho ya kwanini huyo na kila tukifanyacho ndani ya familia yetu lazima akidodose mpaka akijue. Na akishajua tu basi matangazo dunia nzima.

    Najua mke wake huwa anasoma blogs, WEE kurubembe siku yako iko nimekuwekea nitakumwaga live mpaka wake zako wajijue wako mitala, tuliza mkia wako usiojua pakutua.

    Mphuuu nimehema sasa, Dida msg yako imeninspire kutema cheche maana too much sasa bado tu huyo bwana kuingia chumbani kwetu kuona tunachezaje segere.

    ReplyDelete
  6. Hi dada D. Mimi huwa nakupenda sana lakini huwa sipendi unavyopenda kugombana na waswahili coz na wewe unaonekana mswahili vile vile. Ukikaa kimya ni dawa nzuri sana kuliko kitu chochote. Manake mtu anayependa kusema wenzake ukianza kugombana nae na wewe utaonekana wa ajabu. Mjinga achana nae bwana. Bin adam kaumbwa kusema mpz. Pliz change my dear huh! Uko juu

    ReplyDelete
  7. labda wadau wangu hamjanielewa kuweka haya maneno si kama kuna mtu anagombana na mimi naufikisha ujumbe tu sababu najua yapo na yanatokea sana kwenye jamii na ndio maana huwa nasema kama hakikugusi ninachokiandika humu hakiwezi kukuuma ni mtazamo tu na akili yangu inaponituma kwa wakati huo kwa maana sihofii wala siogopi kundika kile ambacho kinalenga jamii na kuhusu kugombana huwa sigombani na binadamu, nagombana na pesa tu mtu atanipotezea muda kwanza bado sijamuona wa kugombana nae kabisa nitaoneka hamnazo mdozodozo ni hayo tu wadau wangu.

    ReplyDelete
  8. HAHAHA DIDA MIE NAJUA KABISA UJUMBE UNA MFIKISHIA MTU WAKE SEMA TU HUTAKI KUWA MUWAZI ILA MIE NAKUSHAURI UENDELEE BANA KUWAPA DOZI KUNA MIJITU MENGINE INA KERA SANA

    WAO KILA KITU WANASEMA USHIRIKINA HATA UKIPENDA NA MPENZI WAKO ASIPOWASIKILIZA NA UMBEYA WAO WA KUWAGOMBANISHA UTASIKIA ASHAROGWA AMEKALIWA MABEGANI KASHIKWA MASIKIO AKIAMBIA KULIA ASHAGEUKA KUSHOTO KUMBE MASKINI MASIKILIZANO MAZURI BAINA YENU NA KAWATOLEA NJE KWA MAMBO YAO YA KUZUSHAAAAAAAAAA

    WAPE WAPE HAO ZAMA ZA UKWELI NA UWAZI SASA HIVI LIVE LIE KILA KITU HAKUNA KURECORD KITU HAPA

    KISHUNA

    ReplyDelete
  9. wanawake wakitanzania mna kazi fanyeni kazi acheni kusikiliza majungu

    mama shamsa

    ReplyDelete
  10. Ni kweli mdogo wngu kuna watu wana hulka mbaya sana maana yamenigusa, kuna mdogo wangu amejaribu kuleta maendeleo ndani ya familia yake kwa kujihini anachopata ili kubadilisha mazingira ya nyumbani kwao basi hao uliowachambua waliyoyazusha hatari tupu mara anajiuza, mara amepata mume wa mtu anamchuna mara anafanya biashara ya dawa za kulevya basi maneno ya kila rangi kisa hawajui password ya maisha yake sasa inahusu nini kuyazusha yote hayo? Ni haki hasa utusemee wengine hatuna pa kuyatoa

    ma samira

    ReplyDelete
  11. Nashukuru msg imefika elimu si lazima kuibebea bango njini kinachomata maisha,Kwa taarifa yenu ila nilipotaka kupagusa mmegusika wengibsiogopi lolote kwa maneno ya wadau wachache kama na kuboa bofya kwengine unaingia humu kutafuta nini kama hutaki kujikera mwenyewe bado HAMJANIKERA NITABAKI KUWA YULE YULE HUNA UVUMILIVU NA MOYO HUMU HAPAKUFAI KAMA TARIME.

    ReplyDelete
  12. Dida maneno mengi,punguza mdomo mwanamke!Kaaaa!Ndo mana akina Mchops wamekaa pembeni,duu!Pole lakini.Hivi hayo maneno ndo unaona yana ujumbe mzuri wa kuifikishia jamii?Hakika kama goal ya wasanii ni kufikisha ujumbe wa kuigwa na jamii basi mi naona wewe unaipotosha jamii.Hivi umekosa mada nyingine za kudiscuss?Hakika Dida unahitaji cancelling,yaani una tatizo la kisaikolojia,ther s sometn wron n u,hebu jaribu kujifikiria,samahani lkn kama nakukera ila ni maoni tu,usikonde.Mdada mzuri,japo si uzuri kama unaoufikiria wewe kuwa unao,manake unavyojidai mwenyewe,mmmmmmmmmh!Yani Dida una viroja.Sio mbaya lkn huo ni mtazamo wako ila mi naona si mfano mzuri wa kuigwa.

    ReplyDelete
  13. jamanikwa mimi utaomba radhi wewe sababu lazima niseme siogopi chochote na wala sizuiwi kuandika ninachokitaka naweza kusema mpk tunakesha,ika napenda utambue lawama kaumbiwa mwanadamu lawama hakuumbiwa chui wala paka binadamu mwenye uzito kama wangu,so mengi mtasema maneno hayababui na wala si umeme yatanirush nitasema ninachotaka cause kwangu nawaona skin tite ikinibana shurti nivue nivae nyingine nakemea NDIO MAANA LINAWAGUSA,NAOMBA NISEME LAITI KAMA NINGEKUWA NAIMBA MAPAMBIO KAMA ROSE MUHANDO MSINGENIJADILI NA HATA USINGETAKA KUJUA ELIMU YANGU SABABU NAZITEMA CHECHE KAMA BEYONCE LZM UTAKE KUJUA NA KIDATO HAIUMIZI NA KINACHOMATA JE SHEPU,UMBO,UZURI,UREFU,UNALIPA MJINI AU UNASUBIRI MANUSURAAAAAAA?HAASSSSH NDIO KWANZA MNANIPA MZUKA KUNENA.

    ReplyDelete
  14. ilo nalo neno ata uwe mzuri vipi kama huna senti huna heshima hata kidogo hapa mjini. wangapi wazuri lakini hawaeshimiki hata kidogo na mbona hauwalipi huo uzuri wao. ukiangalia pochi zao kumi hawana sasa kama uzuri mali mbona hawana kitu. usiwasikilize dida kinachomata hapa mjini senti wewe huna uzuri lakini hapa mjini unajina na unauwezo wa kufanya chochote kile. wao kama wazuri wale uzuri wao

    ReplyDelete
  15. wewe mdau hapo juu eti Dida anahitaji nini cancelling? hivi unajua maana ya hili neno au umejiandikia tu ili uonekane umekwenda shule? kusoma kamusi hujui, cancelling maana yake nini kwa kiswahili kaangalie kwenye kamusi, ila sentensi yako ulikuwa unataka kusema anahitaji ushauri nasaha, nafikiri kati yenu wewe ndiye unafaa ufanyiwe counselling au upatiwe ushauri nasaha kwa sababu unataka watu wawe kama wewe au kama fulani wakati mwenzio kajikubali kama alivyo hulka yake iko hivyo sivyo mtakavyo.

    Kuhusu ya Mchops na Dida hayakuhusu kama kilimkimbiza umalaya wa mume ukiambiwa wewe ndio kidaku wake utakataa?ulimuona humo alipokuwa akiishi na mumewe? unajua kilichomsibu mpaka akatoka yeye mwenyewe? upashukuna tu unakusumbua, sipendi wabongo kwa kupenda kujua mambo ya ndani ya watu si wanawake si wanaume mimacho juu ka guluguja.

    mama dida na imani

    ReplyDelete
  16. Kazi kwelilkweli!

    ReplyDelete
  17. WAAMBIE HAOOOOOOOOOOO,KAMA WANAWEZA WAJIBEBE WENYEWEEEEEEEEEEEEEE, MAANA UKIWAAMBIA WATIKISE KABLA HAWAJATUMIA HAWAELEWIIIIIIIII, TOA CHECHE MWANAMKE MWENYE KUCHOMWA NA ACHOMWE NA MWENYE KUZIMWAGIA MAJI ILI ASIUNGUE NA AFANYE HIVYO, HALOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO................... TENA UWAAMBIE HASA KUWA HATUWEZI KUSHINDWA KUENDESHA MAGARI YETU VIZURI BARABARANI KWASABABU YA BABY WALKER ZAO (Starlet) HAHAHAHAHAHAHAHHA............LOL

    HAPA NDO SHAKE WELL B4 USE

    ReplyDelete
  18. Du, kweli wanawake mna tabu ndo maana wanaume ulways wanawadharau

    ReplyDelete
  19. Hello there! This post could not be written any better!
    Going through this post reminds me of my previous roommate!
    He constantly kept preaching about this. I'll send this post to him. Pretty sure he'll have a good read. Thank you for sharing!
    My page - centennial hyundai las vegas

    ReplyDelete
  20. I have not sensed the need to try to find treatments but your article has recently urged us to take action.
    Also visit my blog post ... visit this website for more info

    ReplyDelete
  21. Thanks a bunch for sharing this with all of us you really recognise what you're speaking approximately! Bookmarked. Kindly additionally seek advice from my website =). We could have a hyperlink change agreement between us
    Also see my page > c3 corvette parts

    ReplyDelete
  22. Een sprekend vertelling vervaardigen met betrekking tot dieet is zonder twijfel alles behalve een fluitje van een cent doch ik moet zeggen dat het jou uitstekend is geslaagd, goed gedaan!
    Have a look at my weblog ... http://proteine-dieet.info

    ReplyDelete
  23. I've been exploring for a little bit for any high-quality articles or weblog posts in this kind of space . Exploring in Yahoo I ultimately stumbled upon this site. Studying this information So i am glad to exhibit that I have an incredibly just right uncanny feeling I came upon exactly what I needed. I so much definitely will make sure to don?t overlook this site and give it a glance regularly.
    Look into my weblog flex mini

    ReplyDelete