EBWANA INGAWA TULITANDIKWA NA MOROCCO,HATUKUKATA TAMAA YA KULA BATA .

Tuesday, October 12, 2010 7 Comments

Tulitoka kwa mbwembwe na jezi kuelekea taifa kucheki mechi kati ya stars vs morocco, tumerudi wadogo kama nukta baada ya kuchezea kichapo toka timu ya morocco ila stars daima mbeleeeee.

kimya kimya.
ahaaaa ingawa tumefungwa raha jipe mwenyewe mdau wa stars.
Ankal ibra gobos ktk pozi.
Mwana dada alice toka busness printers akijipa raha, wanafungwa manchester sembuse sie.

7 comments:

  1. Umebadilisha gari mpenzi watakukoma mjini,

    ReplyDelete
  2. Mmhhh....anabadilisha magari??au anaazima??

    ReplyDelete
  3. Amebadilisha lake??nasikia kazi yake kuazima magari tuuuuu.....haaaa umaarufu kaaazi....

    ReplyDelete
  4. umependeza dida, jezi zinakutoa

    ReplyDelete
  5. jamani waswahili!sasa hata kama kaazima inawauma nini?mbona hampendi maendeleo ya wenzenu jamani.

    ReplyDelete
  6. HAHA BWABWABWA HATERS MTAJIBEBA DIDA KIMBIZA KAMA KAWA

    ReplyDelete
  7. Kuazima nako shughuli,na wewe kaazime basi bi dada,anakujua nani maskini ya mungu.

    ReplyDelete