MTOTO SAMIRA ATIMIZA MIAKA MINNE,NAMUOMBA MUNGU AENDELEE KUNIKUZIA.

Friday, October 08, 2010 11 Comments

Kana swagga jamani mungu mkuze aje ayaone ya dunia ishallah,najua atakuwa anayabeba yote mabaya na mema kama mama yake, na vile vile naamini utakuwa usiyependa majungu kama mama eeeee?Natumai utakomaa na waja kama mama na kuwapotezea wajinga wajinga wote sema amin jamani.
Nimenenepaje sasa vipsi na nyama choma visimame.


11 comments:

  1. Happy Birthday sweet baby!
    Allah akulinde na akuongoze katika kila jambo.

    ReplyDelete
  2. huyo ni mwanao!? jamani kazuri sana,naomba tu umlee asiwe msahili kama wewe,usimuharibu oliz,hafananii uswahili jamni.kazzuri sana tena sana.mungu nijalie nije nipate kama huyu na mie!

    ReplyDelete
  3. happy birthday samira!

    ReplyDelete
  4. DADA DIDA!!

    HONGERA NA MWANAO KWA KUTIMIZA MIAKA KADHAA MUNGU AZIDI KUKUZIA.MILANGO YA HERI NA IWE WAZI KWENU NA MWANAO MLITAKALO NA MFANIKIWE.

    ACHANA NA BINADAMU WANAOKUNENEA MABAYA HUO WOTE NI WIVU TU HAWATAKI MAENDELOE YAKO.

    BIG UP DADA NAPENDA SWAGGA ZAKO NA KAZI ZAKO NZURI.

    IRENE M.

    ReplyDelete
  5. Pendeza wewe, watakukoma mwaka huu, pumnzisha kofia sasa khaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  6. hongera ma mdogo happpppppppppppy bithdayyyyyyyyy

    ReplyDelete
  7. Mh! kupendeza mama Samira umependeza, but mwenzangu tukazane tutoe haya matumbo, mwe! tukivaa suruali tu yanatangulia ah! mimi huwa nachukia kweli, yani hadi nakosa amani, tangu nijifungue lo!Sijui tufanyaje, coz Diet ndio ilinishindaga kabisa yani ah! MNAOJUWA HEBU TUONYESHENI NA WENZENU DAWA YA KUTOA TUMBO ''MBALI NA DIET LAKINI' Maana mh! kitengo cha msosi kwetu wengine ni muhimu kuliko kitu chochote kile

    ReplyDelete
  8. congrats very cute baby, chocolate colour natural lol... asiwe km ww full mkorogo ata rangi yako ya asili now tumeisahau siku mikorogo ikiisha au ikifungiwa milele cjui kama tutakuangalia mara mbili lol hate mikorogooooooooo....

    ReplyDelete
  9. we mdada ulo comment hapo juu umenitisha mbona umeandika IRENE M. while na mm ni IRENE M. dah nataman nikufaham isije kuwa tumeshea baba then hatujuan na hivyo sina dada naogopa kuiweka no yangu hewan c unajua tena mumy ila kama kuna uwezekanao tumia email yangu puritymathew@yahoo.com

    ReplyDelete
  10. duuu!!! kweli wee mambo yako ya kichina mwanao kavaa vibajaj duuuh!!

    ReplyDelete
  11. Nyooooooooooooo, mwanaharamu wewe kwani vibajaj sio viatu, kwanza vipo inn kwa taarifa yako , hukosi neno la kusema mbwa wee

    ReplyDelete