Tigo Pre Paid Blackberry ilivyozinduliwa..!
Akisoma hotuba yake katibu mkuu huyo amesema"Ninayo furaha kubwa kuwa nanyi mchana huu wa leo ambapo Tigo mnazindua huduma yenu kabambe ya malipo ya kabla ya mtandao wa intanet ya backberry kupitia mtandao wa Tigo – Tigo Pre paid blackberry
Kwa niaba ya serikali kupitia wizara mawasiliano sayansi na teknolojia kwanza niwapongeze kwa hatua hii nzuri mliofikia ya kuamua kuleta huduma hii ya blackberry malipo ya kabla ambayo kama mlivyosema mmeitikia ombi toka kwa wateja mnaowahudumia
Pili ninawapongeza kwa kuweka vifurushi vya viwango vya chini zaidi na nafuu kuliko mtandao wowote nchini katika huduma hii ya backberry malipo ya kabla
Zuri zaidi ni kwamba nyie mmeweka kiwango cha chini kabisa cha kulipia shilingi elfu saba tu kwa siku saba na mteja akafurahia huduma ya intaneti!Kwa niaba ya serikali kupitia wizara mawasiliano sayansi na teknolojia kwanza niwapongeze kwa hatua hii nzuri mliofikia ya kuamua kuleta huduma hii ya blackberry malipo ya kabla ambayo kama mlivyosema mmeitikia ombi toka kwa wateja mnaowahudumia
Pili ninawapongeza kwa kuweka vifurushi vya viwango vya chini zaidi na nafuu kuliko mtandao wowote nchini katika huduma hii ya backberry malipo ya kabla
Hongereni kwa hilo Hayo yote ni mafanikio na ndio maana hata mlitunukiwa ubora wa huduma za mawasiliano nchini na wataalamu wanaofanya utafiti kwenye zaidi ya nchi 80
0 comments: