Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- HII NI KWA WANAWAKE WENZANGU WENYE WATOTO,MTOTO WAKO AKIFIKISHA UMRI WA MIAKA MINNE MPE MAZIWA YA NIDO NIAMINI.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- THE AFTERMATH...
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
Ok,tunakutakia safari njema,but hujasema unaelekea wapi ili wadau tujue,be care mama!
ReplyDeletesafari njema dida nakupenda wewe demu muhangaikaji lzm wasichana wenzio wakuoigie saluti nasikia unakuja greece krb kwangu bwana utaelekezwa na leila ok
ReplyDeletehaya haya kama kawaida yako mama tuletee vitu vya ukweli.
ReplyDeleteumependezaaaa chezea wewe jamani huwa nakutamani mafanikio yako huna mume ni bachela lkn unaishi vizuri acha watu wakuchukie uko juu sana dida nakuombea urudi salama.
ReplyDeleteuko juuuuuuuuu ilo ndilo linalowaumiza wenzio unaruka kula wakati ulaya kwaqko kariakoo dida nimesoma umetoroshwa na rubani kweli au magazeti?mtoto mdogo mambo yako makubwa jamani nakutamani.
ReplyDeleteOk,nakutakia safari njema,but nilidhani unakwenda china kweli kumbe Holand na Greece!ukirudi usikose kutuangushia vizawadi Dubai,Mlawa anakusalimia na anakuombea safari njema.
ReplyDeleteyaani we msichana unaringa sana na unajishaua mno mpk umepata mume wa kukuoa au huko kusafiri safiri kwako ndio umepata bwana
ReplyDeletewewe anon acha kumsema mtoto wa watu fala wewe humkuti dida kwa lolote chuki tu zinakusumbua msichana mdogo muhangaikaji wewe una nini mshenzi ngoja aipate comment yako akuchambe kidogo
ReplyDeletetunakutakia kila la kheri dida keep it up unajituma magazeti waongo jamani unaolewa na nani wakati mwenyewe hutaki mume bachela wa kutumainiwa uteleteee mijizawadi usisahau kutupostia picha nchi uliopo.
ReplyDeletedida mimi kiukweli nakupenda sana serious naomba nitumie namba yako plsssss usiipost tuwasiliane.
ReplyDeletenimependa ulivyovaa best ivyo viatu tuleteee utujuzu tutavipataje mungu akujalie dida una nyota mtoto wa watu huna choyo ndio maana mungu anakupa achana na mahaters watasema lkn hawakupati.
ReplyDeleteHOLAND NA UGIRIKI KUNANI? MAUDAKU YAMESEMA UNAENDA KUOLEWA NA RUBANI
ReplyDeletekwan jamani akiolewa kuna ubaya gani.... mi nashindwa kuelewa hao wanaoumia roho kwa mafanikio na furaha za watu...
ReplyDelete