NAWATAKIA IDD NJEMA WADAU WA BLOG YANGU ISHALLAH TUPO PAMOJA.
Wadau idd njema niko pamoja na nyie ingawa sipo bongo unajua tena ni vijimambo tu, nipo nje kidogo ingawa bado nipo transit ktk nchi ya watu ngoja nifike ninakokwenda nitawajuza siwanyimi uhondo mie nimejaaliwa ukweli,
pia napenda kumpa pole swahiba wangu Mai kwa kufiwa na mchumba wake P didy imenishtua ila mungu ampe nguvu ulimpenda ila mungu kampenda zaidi.
Tupo pamoja ktk kipindi hiki usiombe jamani yasikie kwa mwenzio uliyemzoea hata mkigombana ni sehemu ya mapenzi bora asafiri unajua atarudi jamani pole sana tena sana mungu akupe nguvu.
haya Dida tumesikia kuwa unaenda uholanzi basi nshallah Mungu akulinde
ReplyDeleteHayo ni mapenzi ya mungu,tunamuombea kwa mungu ampe moyo wa utulivu ktk kipindi hichi kigumu kwake!pia nawe dida usitunyime uhödo wa huko,kwani tunajua umejaaliwa ukweli,hata sisi wa Dubai akina Mlawa tunajua.Mungu akuongoze.
ReplyDeletemungu akujaalie hujajaaliwa kumzika shemeji ukirudi utampa pole swaiba usisahau kutuwekea swagga maana wewe mwenyewe swagga unazo shostito kila lakheri
ReplyDeletekama kawa mwanadashost wewe nakuaminia unajua kuzitafuta na kuzitumia mungu akujaalie na maisha yako pole kwa maimatha mungu ampe nguvu.
ReplyDeleteOOHH! I LIKE THAT MDAU TX.
ReplyDelete