REST IN PEACE P.DIDDY..!

Thursday, September 09, 2010 0 Comments


Kifo cha Perfect Kasiga, maarufu kwa jina la P. Diddy, kimeacha pigo kubwa kwa mchumba wake, Maimatha Jesse ambaye tangu kupewa taarifa za kifo chake, amekuwa akilia kwa uchungu na kukumbuka walikotoka kwa kusema kuwa alimpenda sana P. diddy na alibadili dini kwa ajili yake. Pichani ni Maimamatha kama alivyokutwa na mtandao huu msibani Kinondoni jijini Dar es salaam akilia kwa uchungu na kufanya marafiki na ndugu nao kuangua kilio. Kwa habari zaidi ingia Global Publishers.



POLE SANA DADA ANGU MAI!! KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA
MUNGU AILAZE MAHALI PEMA ROHO YA MAREHEMU PERFECT KASIGA

0 comments: