USIYOYAJUA KUHUSU DIDA,LIKIKUGUSA WEWE MMOJA WAO INGAWA NIKO MBALI UTATAISOMA JAPO KIMOYONI
1:Usimzungumzie mtu kama humjui.
2:Ukiona mtu anakuchukia yako yanamuumiza mtakufa na kwikwi zenu.
3:Ishi uwezavyo usiishi watu watakavyo.
4:Duniani watu wanataka raha na si kupeana karaha.
5:uzushi wao wala haunitii doa maneno tu hata kwenye keki yamo.
6:Maneno ya mkosaji hayanikoseshi raha ya kunywa maji au kufaidi raha za jiji.
7:Naziona comments zenu kutoka kwenye magazeti sijali, naliweka wazi ili kuwa na wale mahaters wangu mnaochonga sana juu yangu nitakomaa na nyinyi lkn mlijue si kama kila ninaposafiri naenda kuolewa au wapi ni mwanamke jasiri,, ninayejituma,na nisie ogopa chochote namshukuru Mungu kwa wote mnaoumia ananifungulia poleni mnaoumia na mimi ohhhh bila kusahau kama mlikuwa hamjui nilikuwa na mahusiano zamani kwa sasa sijaolewa kama mnavyosambaza majungu ila na nikiolewa mtayaona na ni nani atakae nioa sifikiri kuna binadamu anayeweza kunizuia lolote. poleni kwa kuwachosha ila msg imefika nitawatumia picha hapa nilipo kama nakula bata au ng'onda.

Mmmh!Dida ujumbe umewafikia hao wanaokutangazia vingine,jamani mtu akisafiri basi anaweza akatokea mtu mmoja tu akasema anachotaka ili hali hana uhakika!jamani wabongo tubadilike!usimuonee wivu kwa mafanikio ya mwenzako cha muhimu ni kuangalia nawe ni vipi utaukamata mkwanja?dida akisafiri utasikia maneno kibao,kila mtu anasema lake!jamani angalieni ya kwenu nyie vipi?kwani dida kuolewa ni ajabu?subiri mwenyewe kama kuolewa atawaambieni,kila mtu atajua!Dida kaza but mtoto na usisikie la mtu,maisha yako ni yakwako na si ya kwao!mungu atazidi kukupa we waache waseme yako yanakuendea,unajua binadamu tumetofautiana kimtazamo na kimawazo,ndio maana utakuta mwalimu anafundisha darasa zima la wanafunzi 40!kisha mwalimu anauliza mmeelewa?wanafunzi watajibu tumeelewa!au kama kuna asielewa mwl atarudia kdg!lkn anapotoa kazi ifanywe hapo ndipo utapoona kazi sasa!atatoka wa kwanza wa pili mpaka wa mwisho!wakati mwanzo wote walijibu tumeelewaaa!!hivyo ndivyo tulivyo binadamu,kika mtu na mawazo yake!
ReplyDeletedida lzm waumie kwa mafanikio uliyonayo msichana mdogo unajituma napenda juhudi zako kwa ujumla kaza buti mdo wangu mungu atakupa tu usiyajali majungu ndio zao nakufagilia sana sabra uk.
ReplyDeletedida nakumbuka wakati niko bongo ulikuwa unajuhudi sana za kufanya mambo yako yawe mazuri na mungu akujaalie kweli wewe ni ngangari na ni mtafutaji na wasio kujua wataropoka sana kuhusu wewe watuulize siye tunayekufahamu unamsimamo wa kutosha na usubiri kuletewa ndio maaana wanakuona unanyodo kaza buti mamito umri wako unakuruhusu kupiga kazi mungu akujaaalie mwaya ukirudi lete mambo ya huko usisahau swagga kutuwekea.
ReplyDeletedida umeanzaaaa hivyo ninachokupendea huwa unawapa live bila chenga umenichekesha maneno hata kwenye keki yamo umerudiiii tena haya urudi salama mamito.
ReplyDeletekama unakula ng'onda lol watajijuuuuu
ReplyDeleteAsantaaaa mwanakwetu wape vidonge vyao
ReplyDeleteumenifurahisha sana Dida. Na watakuwa wanaumia kwa sana
ReplyDeleteDida kweli mwehu, hamnazo a.k.a hazikutoshi km hazikubani basi zinakupwaya hehehe eti maneno hata kwenye keki yapo, naam tunakata keki tunakula na maneno kesho tunaenda shusha choooni heheheee hili dada nimo nae mieeee aaah. Na hili pia wape WANAJITIA ASHUO ZA MTONGA MAJI YA DAFU KUOSHEA KIDONDA!!! KUFUNGA RAMADHANI KWA FUTARI ZA KUOMBA... haya kazi kwako simo mie
ReplyDeleteMdau kwa Obamaaaaaa a.k.a mchafukoge
Mh. pamoja na ukweli uliotoa bibi. Mbona tumesoma kwenye gazei la Global Publisher umeenda tambulishwa. kama ni kweli una waume wangapi? Uliopoachwa na Mchops ukasema umepata king'asti sasa kimekushinda nin? Ukimwi upo mama kuwa mwangalifu. Usibane comment
ReplyDeletekwetu kigoma tunasema FUNGA KALOMO
ReplyDeleteasante disminder kwa usemi wako na uko wapi
We nawe huo ni uswahili, usiambiwe ukweli? Kitu gani?
ReplyDeletehupendezi shepu ya simba tu ulijaaliwa dida ushangingi hovyooooo haupo decent.
ReplyDeleteYaan wewe bonge la mswahili kishenzi na sijui ulipata kazi vipi hapo redion hivi umeishia la ngapi naona shule kwako iko kushoto
ReplyDeletedida wachome wachome wachome wachekeche wamezidi kula bata kwa raha zako mamito
ReplyDeleteDIDA NINA WASIWASI NA SHULE YAKO! HVI UMISHIA DARASA LA NGAPI WEWE? MTU MWENYE ELIMU YAKE HAWEZI KUFANYA HUO UPUUZI UNAOFANYA WEWE! KULUMBANA KWENYE BLOG NI USHAMBA IGENI BLOG YA MICHUZI JAMANI MSITUHARIBIE MAAANA HALISI YA BLOGSPOT
ReplyDeletetulia tutatambua uwepo wako
ReplyDeleteDida usijali nakupenda unavyo kaza buti na maisha haya endelea kuwauzi wanaokuchukia ukiwauliza wamefanya nn mwaka huu hamna bali ni maneno tuu big up mumy
ReplyDeleteimman Jumbe