DIDA MJENGONI BAADA YA LIKIZO,NI DAKIKA CHACHE TU KUINGIA KUTEMA CHECHE ZANGU NINA VOCHA KIBAO ZA MDOMO SINA WASI MTOTO WA KIKE.

Thursday, September 23, 2010 15 Comments

Nimetengeneza shavu nikiwa ndani ya pozi na sheiza mtangazaji ndani ya radio times fm.
Ndani ya ofisi za radio times kushoto sheiza,dida na mzee chapuo msimamizi wa kipindi changu.
Ukiipenda dida classic jibu lako.
NASHUKURU MUNGU WADAU NIMERUDI SALAMA.

15 comments:

  1. Thankx god that ur back i hope uko salama ma dear kipindi chako ni muda gani nataka kukusikiliza namie wajina wako

    ReplyDelete
  2. but now ur back jitahidi basi uwe unatuwekea mambo mara kwa mara bwana we miss you

    ReplyDelete
  3. kipindi changu ni saa sita kamili karibu wajina wangu.

    ReplyDelete
  4. NA KAZI KWAO, SIJUI WATASEMA LIPI NA KILA SIKU UANA JIPYA FULL KUTIKISHA

    hahhahahahaah wakerekao

    un-touchable girl

    ReplyDelete
  5. hahahhahahhaha WELCOME BACK....uanze makamuzi...NILIKUMISIJEE!!

    ReplyDelete
  6. saa sita kamili AM ama PM?

    ReplyDelete
  7. Dida hiyo baridi ya kwenye ndege si ilikukomesha. Anyways karibu home uanze kurindimisha kipindi chako mwaya, wakimeza kivyao wakitema kivyao na wakimumunya kivyao pia!!!!

    ReplyDelete
  8. Thanks dear i hope nitapata time ya kukusikiliza

    ReplyDelete
  9. unajua tatizo lako wewe bado una ushamba kwakuwa katika picha zako zote cjaona jipya, kunawatu wako bab kubwa wanaenda sehemu zinazoelweka na bado huwasikii wakijishaua kama wewe, halafu huna uzuri wowote ule na bila hayo madawa upakayo kukuchubua kama nguruwe hakika ungekuwa kituko wewe,hebu toa kioo kama unacho katika pochi ujitazamae vema, acha mashauzi ya kishamba na huna jipya

    ReplyDelete
  10. nimependa hyo pochi yako,hv unauza sh ngapi mpendwa.

    ReplyDelete
  11. punguza kujionyesha mamy

    ReplyDelete
  12. Lulu .. kama wana meno watafune tu na wameze kwanini wateme.

    ReplyDelete
  13. Dida Watakufa wote ila vichaa wa muhimbili.

    ReplyDelete
  14. warushe warushike ikiwezekana waangukie ugoko! sikujua kama sheiza yuko nawe. Hi kwake pia.
    carolyn s.k

    ReplyDelete