SI KILA KITU WOTE TUNAKIJUA CHEKA KIMOYONI.
MHHHHHHHH sijui napanda au nashuka?
Isome kimya kimya.
Isome kimya kimya.
Monday, September 20, 2010 17 Comments
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
© Copyright DIDA MITIKISIKO Developed by MKCT
chezzzea weye umependezasana jamani raha jiachie mwaya kwa rahzako.
ReplyDeleteAmina Zangira
da we noma ila nimetamani hilo bakuli la samaki maana udenda umenitoka hapa dida waambiwa hivi kula raha mwanwani wanaosema waache waseme maana hawaonekanai hata gizani sembuse kwenye mwanga weraweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hebu tupe raha weye maana tumekumis kwenye mirindimo inahuuuuu wanaochonga wanamashauzi ya papai wakati wao hawafai.......ireen frm bongo
ReplyDeletewewe kweli MTIKISIKO, tetemeko lako halihofii madhara gani litasababisha, lol waposee kidogo jamani wanakomajeeee?
ReplyDeleteun-touchable girl
wacha wee dida..have fun my dear..put more pictures..
ReplyDeleteahahaa ushamba mwingi, pole shoga. mbona mambo ya kawaida hayo. Hamna hata cha kushtua hapo. hiyo Hotel mimi naona ni 1 star hata 3 star haijafika. Dida acha ushamba shosti.....MDAU LE PARIS
ReplyDeleteMmmm!pozi zako si mchezo,haya mwanakwetu endelea kula bata,wewe dida wee huo ndo mkao gani?haya yetu macho!
ReplyDeleteWao nimevutiwa na picha yenye maelezo isome kimya kimya, imetukia na inashawishi kuendelea kuiona. Swali nani alikuwa kamera man? wa jinsia gani? unauhusiano naye gani endapo ni mwanaume na je hakutumia muda mrefu kupiga hiyo picha ili aoshe macho kwa muda?. Mie hoiiiiiiiiiii kwa picha tu.
ReplyDeletePia ile picha ya kwanza karibu na wallet kitandani na kama macho yangu hayanidanganyi inaonekana unajali naona kama kondom vile,
Fataki wa Mwanza.
binam kweli umekula bata, japo umetubania za matembezini c unajua mambo ya kushop!! mana ungekula ng'onda hili shombo lake ungeanza kulisikia kwenye anga za bongo kabla haujatua c unajua wabongo kupenda kushadadia ya wenzao yao mchagoni haaaahhaaaaaooooohhhh!!!!!
ReplyDeletewatashaaaaaa!!!!!
haa haaaaaaaaaa u just made my day
ReplyDeleteMAMBO BI SHOSTI! NAKUONA KWA RAHA ZAKO. PONDA MALI KUFA KWAJA? AU NDIYO MAMBO YA RAHA JIPE MWENYEWE? AMINIIIIIAAAAAAAA KALANDINGA LA FM. WAZOEZOE WANAFIKI WENYE VIJIBA VYA ROHO.SASA MBONA ULIMWAMBIA SHEMEJI YAKO UTAKUJA JIIIIIII. YAANI UKIRUDI BONGO BILA KUFIKA DENMARK NITANUNAAA.NJOOOO BWANA CHANA TU SHOT KATI MWALI WANE. NJOO NIMEKUTAYARISHIA SUPU YA KENGE,NYOKA, NA CHURA TAMU KWELIKWELI NI SPECIAL KULE UFARANSA.SI MCHEZO MWALI ENDELEA KUWAJAMBISHA TU.
ReplyDeleteASHURAH H.
DENMARK.
Dida you made my day nimecheka mno!!!!
ReplyDeletemamy bora urudi tumemiss sana sautiyako yani karibusana tunrkungoja kwa hamu,wapi dida mtafutaji chezzzzzzzzzzzzea weye,watalala chali vitumbo juu. we miss u mamiiiiiii
ReplyDeleteAmina Zangira
SASA WAZUNGU NYIE MBONA HAMKOMENTI! OVYOOO! HAMNA HAYA MWENZENU KUFANIKIWA MNAKONDA KWA ROHO MBAYA ZENU. MTAISHIA KUSONONA WAKUJA NYIEEEE!
ReplyDeletemh mdau leparis
ReplyDeleteusituchefue na wewe ebu tuma zako tukuone, kama 1 or 3 star ulimchangia? dida bb tikisa na raha jipe mwenyewe mtoto wa kike hata kama 0* ingekuwepo haihuuuuuuuuuuuuu
TENA TETEMEKO HUYU LIMEMKUMBA BAHATI YAKE ALIWAHI KUKIMBIA HALOOOOOOOO MSUMARI HUO
Dida kumbe na wewe unaishi uswahilini kama sisi, tunashea room na mbuu, paka, panya, mende na vinginevyo. POLE SANA.
ReplyDeleteKWANI DIDA YEYE NINI HATA ASIISHI USWAHILI?
ReplyDeletewe dida ninavyokukubali nataman ungetangulia kutoka mi nifuate kama mdogowe,haters ndo wanaofanikisha maishani siku zote wenye majungu wana yao yanayowakosesha raha si ajabu kuwaona wakiya pekenyua ya wenzao wayaweke hadaran...nakupa hongera,wewe ni mfano bora wa mwanamke jasiri na unaejiamini,Mwenyez akujaalie uendelee kuwapa fimbo,mipera ikikauka,minazi itafanya kazi....nakupenda
ReplyDeletenyamizi chloe'