DIDA MJENGONI LEO NASIKIA RAHA MUDA KUTEMA CHECHE UNAPOFIKA,NAJUA WENGI WANAUNGUA NA MOTO WA MANENO SABABU YANAWACHOMA NA WATACHOMWA SANA HATUWACHOMOI
Najua binadamu kila mtu anamapungufu yake ila tu unafahamu wengine hujitengenezea roho za chuki mwisho wa siku utaitwa mchawi kwa roho yako ya kwanini.ukimuona mwenzio anafanikiwa roho inakutatalika kama bisi zipo jikoni,ila na unakuwa na wasiwasi utafikiri muuza gongo unakwepa polisi acheni izo waja haya ni maisha tu ila mjue wazi moyo na yangu nafsi umepoa kama almasi sina bifu wala jelous na silipizi kisasi ila utaisoma namba hata kama za kichina.utakae ona umebanwa utasogea hii ni blog ya kuwanyoosha wale wanaojifanya wamepinda kama spoku za baiskeli kama wewe mzungu tembelea kwengine.
Wajaze wajae mamii nakuaminia jembe kuu wachome hadi rohoni wataishia kuisoma kimyakimya watjibeba mwaka huu chezea mitikisiko weye tulikumiss sana ma dear wellcome back
ReplyDeleteMIE MDAU NAFATILIASANA HII BLOG MBONA SIJAONA ALIYEPATA ZAWADI YA SWAGA ZA RAMADHANI AU INAKUWAJE?TUNAKUAMINIA DIDA
ReplyDeleteFANYA VITU VYAKO DADA, WARUSHE ROHO HADI WAISOME NAMBA JAPO KIMOYOMOYO.
ReplyDeleteUna mambo ya kiswahili balaa
ReplyDeleteweraaaaaaaa weraaaaaaaaa mwana kwetu,umegusa penyewe, ukiona mwenzio kapata omba dua nawe ufanikiwe, kumuonea wivu na kumsema mwenzio vibaya ndo kwanza unamzidishia bahati yake.
ReplyDeletefatma
hhahahah dida wape wape hao mwanangu mwenyewe mi hapo ndo naku love waambiye kweli hao wamezidi kufata maisha ya watu yao yanawashinda kila siku kuchunguza ya watu waaape m mungu atakukinga na zao sahri nakupenda uko muwazi saaana kuwapa maneno na yana waingia vizuri. wapeleke uzungu wao hukooo hapa ni kiswazi tu hahahaha .
ReplyDeletego go go gooo dida
uko juu hawakuwezi wameisha ishiwa hawana market watoto wa vichochoroni,watakufa na roho zao mbaya!!! wewe ni namba nyingine bahati yako wataipata wapi?wataishia kunawa tuu kula mh!!wachimbe shimo wajifukiee!!
ReplyDeleteJamani dida..maneno yako yananikuna kisawasawa..nimefurahi sana, i cant stop visiting this blog..U r the best..xoxo
ReplyDeleteooh that is good my dia, hii ni kweli ujumbe umewafikia wale wote wenye tabia kama hiyo.
ReplyDeleteshost mkorogo umekupenda umekua mweupeee...
ReplyDeleteHi
ReplyDeleteDida hapo tu ndio ninachokupendea unanipa raha na maneno yako wape hao mwenyevijiba vyarohoo
lov Didah
hivi wewe umefanikiwa nini hasa madeni ya benki yamekujaa mpaka kwenye chupi eti unajidai unasafiri nje ya nchi wakati ata deni la milioni moja linakushinda kulipa lol aibu yako. blobal publishers wamekuumbua sasa hama mji shost huna jipya na mikorogo yako au nenda kauze kuma tena china halooo halooooooooooooooo utajibeba mwaka huu
ReplyDeleteafadhali mimi nimefunguliwa duka na bwana sijaenda benk kukopa wala nini majigambo kumbe hata mwanaume wa maana huna looooo tunakunyali tu mjini hapa shost huna jipya weweeeeeeeeeee
poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
cheche wapi wewe umeaibika kule shoste zinakushinda milioni looohhh tehetehetehetehe unalo najua utabana ila habari ndio hiyo
ReplyDeletejamani msimtukane mwenzenu nyie wenyewe ya ya kwenu yanawashinda hiyo ni sehemu ya maisha.mtajibeba dida atabaki kuwa dida na hata ukimnyali mjini haumpunguzii kitu mtaisoma kwani mjini mipango kapigeni mswaki kwanza mwacheni mtoto wa watu ajipange mtajijuuuuuuuuu.
ReplyDeletepole dida usiwasikilize watu meneno yao kaa ujue binadamu hakuna anayependa mwenzie apate hivyo umeona ni jinsi gani walivyokuwa wakiuumia na mafanikio yako. lakini waambie if yes yes tu, wao c mungu utapata tu hizo ni challenge za maisha. kaza buti
ReplyDeleteHIVI WE ZIKO TIMAAMU AU UNA LAANA
ReplyDeleteUNAJIAIBISHA MJINGA WEWE
ReplyDeleteMsimtetee amezidi kujishaua, ishi upendavyo usiishi kwa sababu ya watu, una nini Dida! usicomplicate mambo,acha ushamba fanya mambo yako kimyakimya maneno ya nini,umaarufu nini bwana duniani hapa hebu pitia na blog za wenzio uone,deni dogo tulimekushinda halafu bado unajishaua acha dogo.
ReplyDeleteHivi Mchopanga alikutoa wapi kinyago cha mpapure! maana wake za mchopanga ni bomba mbaya Amina balaa, lesi ndo usiseme nahisi wewe ni mchawi,huna sura huna umbo sura imekujaa, mkorogo mpaka unatisha hebu acha kujishaua uone utakavyopendeza, yaani sikupendi mpaka basi
ReplyDeletekama humpendi wewe imekula kwako na mambo yake na mchops hayakuhusu kama na wewe unamtaka mchops nenda huyo less ana uzuri gani namjuasana nipo nae bandarini,huna jipya bi dada kaoge,HUMPENDI LAKINI UNAMKUBALI KIAINA,ndio mana unaangalia WWW.DIDAMITIKISIKO.BLOGSPOT.COM wapiiiiiiii umechelewa jamvini kalamu imeshaliwa.
ReplyDeleteAmina Zangira
Dida mpenzi wangu usijali maneno ya waja huwezi mzuia mtu kuongea au kuandika chochote anachojisikia, hapa duniani hakuna mtu mkamilifu kila mtu ana udhaifu wake sioni sababu ya kumchambua hivyo dada wa watu kisa deni inadaiwa serikali itakuwa yeye dida jaman!? kama kweli wewe unajua kuongea na kuandika mfate umweleze hayo maneno unayoyaandika uso kwa uso kama hamjawa na wasiwasi kama vile mnaoga nje,Dida mpenzi kuwa makini usoni ni marafiki moyoni wanafki. watu wengine sijui vp mnataka kuchambua mchele wakati mna ukoma loo inahusu mwacheni DIDA achambua mchele wake kisawasawa na vidole anavyo, mtajiju malaika wa shetan nyie, wewe unaejiona mzuri weka picha yako tuone hiyo sura yako ilivyo mbaya utadhan unataka kupiga chafya!
ReplyDeletePOLE WE ULIOFUNGULIWA DUKA NA HUYO BWANA WAKO BORA YE DIDA ANASAFISHA MACHO KILA ANAPOSAFIRI KULIKO WE UNAEUZA MARONYA DUKANI KWAKO NYOKO WEE MSHAMBA MKUBWA UNAFIKIRI DILI KUFUNGULIWA DUKA NA BWANA HONGERA DIDA KWAKUJISHUGHULISHA MWENYEWE ACHANA NA HAO WANAOTEGEMEA MABWANA WAKIPIGWA CHINA HATA HELA PANADOLA HAWANA USIWASIKILIZE BIG UPPP WAJINA WANGU
ReplyDeletedida..(ukiona unachukiwa na wengi ujue mungu anakupenda)..m.mungu amekuonyesha mapema jinsi maisha yako yanavyofuatiliwa na maadui kila pembe..kwa hiyo kua makini,umtumikie na umshukuru kwa kukupa uwezo huoo.kama usingewajua wabaya wako ningekupa pole lakini kwa kua umeshawajuaa nakupa pongezi wewe kweli ni mwanamke shupavu na nakupenda kwa hili..ila watazisoma namba za hihaaa mwaka huu..ww ni dida tuuu,uwe na bwana ni didaa,usiwe na bwana ni didaa,uwe na mali ni didaa,usiwe na mali ni didaa,uwe na mkopo ni didaa,usiwe na mkopo ni didaaa,yaani kama wao wanavyokunyali wanavyokua town basi wewe wapungie mkono tuuuu...arochooooooo!
ReplyDeleteRUKIA KWELI
ReplyDeleteDida umependeza sana hasa rangi ya ngozi yako iko poa sana kama vipi ww wajingawajinga wapotezee tu. itupie na picha ya bi hindu basi maana namkubali kishenzi mzee wa voko dogo janja mwenyewe hamuwezi