USILILIE UZURI LILIA BAHATI BIBI EEEEEE

Wednesday, August 04, 2010 13 Comments

Tena waambiwa usijitie ujabali kuvaa joho la mungu ukimuona mwenzio anaolewa au anachumbiwa chuki usimuwekee omba nawe upewe au zidisha tamu uolewe,maana kuna watu mpaka leo wanazeekea makwao na wengine hadi kijivisha pete waonekane wameolewa ilo nalo neno.uzuri ni wako ila bahati huna hata ukimuona mwenzio anaolewa vyungu nane usishangae bibi eeee we si mzuri inahuuuu jua alonacho kajaaliwa chuki usimuwekee kama uzuri mali utembeze ununuliwe na unaweza kuwa mzuri mvuto huna hii ni kwa ajili ya wale wanaojinadi wao wazuri na kuwaponda wenzao haya sasa mbaya ana lexus mzuri hata bajaji hana imetokea maeneo isome na uipigie mstari chezea nyota weyeeeeeee.uzuri wa mwanamke kujiamini shepu hata kwa wachina zipo.

13 comments:

  1. tehtehtehtehtehtehteh,weraaaaaaaaaaaaaaaweraaaaaaaaa,wanaisoma hyo..ina huu vp,maana ucjishau kusema et haihusu.

    ReplyDelete
  2. blog yako tamua dida hebu tuletee mambo dada, tena dida nikija dar nitakutafuta kuna watu 2 au 3 walishaniambiaga nafanana na wewe, ila sina hakika, nitakutafuta kwa picha tupige, yaani kuna dada mmoja nilikuwa mwenge kashtuka nakwambia eeeh nilijua dida yani huku juu full dida, haya pacha wangu nitakutafuta nikija.

    ReplyDelete
  3. Zidisha tamu uolewe halooo anayaweza wapi na yeye anachangamka magharibi jua limeshazama sijui adhuhuri ilimkuta wapi

    ReplyDelete
  4. duh My Dida wee kiboko, hiyo ni msg sent......!! uongo uongo.......!!! kwlllllllllllllllll, tutawakomesha hao wanaoringia uzuri, watu tuna bahati zetu bwana, wera weraaaaaaaaaaaaa!!

    Mama Vane
    Iringa.

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  6. poa mamii karibu na inawezekana duniani wawiliwawili karibu shost yangu

    ReplyDelete
  7. mambo vipi Dida! za miaka teleeeeeeee. mie shosti wako tumesoma wote shule ya msingi Ubungo nhc, enzi ziiiilee za mwl Banda.kwa sasa naishi Denmark. nyaaani unanirusha roho mwali kwetu. mara mwisho tulikutana mitaaa ile........ ya TIP-TOP. Ukiwa bibie S.... UMEISHANIPATA.? NAKUJA DAR BAADA YA RAMADHANI. NIKUTAFUTIE WAPI? UNIKAANGE ROHO MWALI WANE!!!!
    .

    ReplyDelete
  8. Hahahhaha dida umenikuna kuna mdada anajiona huyo yuleee dada wa kichaga mwishoe wa siku kaishia kuzaa na ligumashi na mshepu wake looh kwa kweli mwanamke kujiamini shepu hata kwa mchina ipo lilia bahati sio uzuri akhaaaa atajibeba

    ReplyDelete
  9. Duh! mamito unatisha bongeeeeeee la ujumbe, mwanamke mvuto ati, wenyewe eti mi mzuri ina huuu! nakupenda dida hatari cku nikikuona tu nitakurukia kwa furaha. twende kazi
    sarah

    ReplyDelete
  10. duuuuuu za siku nimekupata chukua contact hapo juu tuwasiliane krb bongo shoga ako ndio nakandamiza kiaina.

    ReplyDelete
  11. Mbona kimya, jamani uweki mambo

    ReplyDelete
  12. Nimekukubali Dida msg imewafikia mama, ulikua wapo siku zote kutupa raha hizi, love u

    ReplyDelete
  13. Dada Dina nimeipenda hiyo. Sijawahi kuingia humu ila umenikuna ingawa ni mara ya kwanza. Kuna shankupe ananichukulia mume japo ana shepu namba nane mume wangu kagoma kuhamia kwake nlipomwambia anipe nafasi na wanangu. Mwanamke si uzuri bahati kweli nimeamini.

    ReplyDelete