WANAWAKE WENGI WANATAMANI KUVIKALIA VITI HIVI VINAPENDEZA SANA ILA JE KUNA MSEMO UNASEMA MWANAMKE BIDHAA HADIMU USIMFUJE WALA USIMTUMIE VIBAYA
Hapa pananoga sana jamani kama hujawahi kupakalia ila ukipataka ufunge mkanda bibi hatutaki msemo huu ukukute kaolewa kwa hamu kaachika mwaka jana ila mwenye kupamudu usisite na si kila mtu anapataka bali wanapatamani raha ya ngoma uingie uchezeeeeeeeee.
Na swagggga hizi unahisi anapatakaaaaa na je wewe upo fungu gani?Raha ya kitu changia mada na ndugu zako mtazamo ukikugusa bofya comment.
Dida bibi raha yake upakalieee waawali ni waaawali hata mkiachana bibi haihuuu hhatakam mkitengana bibi haihuuu kwa mola kumepigiwa mstari wa wino mwekundu mke wa flani kumpora mtu mtu bibi hakuwa mume wa mtu mlianza wabichiii ukawaachi makombo haooooooo
ReplyDeleteNi ukweli ulio wazi tena usiopingika wala kujificha kuwa HAKUNA BINTI WA KIKE aliyefikia umri halali wa kukalia hicho kiti ambaye hatamani kukikalia hicho kiti, labda tu huyo asiyependa basi ana upungufu na sio msichana aliyekamilika, kuolewa ni jambo la kheri jamani basi tu wengine huku Mungu bado hajaamua kutufungulia hiyo milango, ila tunatamani usiku na mchana,
ReplyDeleteMi mwenyewe binafsi yangu napatamani sana tu kila kukicha basi tu sijapata hiyo bahati,
Hey dida usema ukweli me napataka hasaaa! ila huyo mtu tu wa kuniwezesha nikae hapo ndio sijampata shost.
ReplyDeleteutampata tu usijali uvumilivu
ReplyDeletehizo picha zote zilipigwa restroom/chooni au maana madgari ndiyo yale yale aaaaah
ReplyDeleteHt mie shosti napataka, ila longolongo kibao!inshaallah sikati tamaa.
ReplyDeletefrom Mtwara
huo ni ukumbi shost si choo wala varanda kuna kijisehemu kilipangwa kwa ajili ya kupigia picha so ndio maana zinaonekana tofauti.
ReplyDeleteraha ya ngoma bibi huingie uichezeee TENAAAAAAAAA mhh bi shosti hapo labda wakwanza tu ndio kidogo anamuonekano wakutaka kukikalia lakini nyi wengine shoga zangu hata siwaelewi inaonekana kama mmeshakalia alafu vikawakia moto tennnnaaaaaaa ngoma zinawenyewe hizo si mchezo.
ReplyDeletetym'l cm
ReplyDeletetehe!tehe! mnachekesha kweli unajua kwa upande mwingine hilo jambo ni mpaka MUNGU apange ila twende mbele turudi nyuma mdada jitulize/jiheshimu/uwe na hofu ya MUNGU alafu uone kama iko kiti haujakikalia kuulaaaaaniiiiii,apo chacha upo teyari kutulia
ReplyDelete