HAYA JIMWAE MWAE NA MAPICHA YA UZINDUZI WA JAHAZI ALBUM YA SITA

Monday, August 02, 2010 6 Comments

Usifikiri jeneza ndio mfalme mzee yusuf akiwa amebebwa kwenye jahazi makubwa mjini.

HII ni ishara inayoonyesha jahazi imefikisha miaka sita.
Mzee akiwa jukwaani akiutambulisha uzinduzi huo
Hapa dada na kaka baada ya kupatana wakiimba udugu hazina yetu.
Mzee ndani ya jahazi akisabahi mashabiki.
Ma mc DIDA NA MAI wakichombeza jukwaani
Udugu hazina ukageuka kilio baada ya khadja yusuf kushindwa kuendelea kuimba baada ya kuitilafiana na kaka yake muda mrefu huzuni ulitawala baada ya khadija kuangua kilio katikati ya wimbo msichana aliyemshika khadija bega ni mdogo wao wa mwisho(ndugu wanapogombana shikeni jembe mkalime wakipatana uso utakuwa mdogo kama nukta.
Mzee akimkabidhi album mpya shabiki aliyejulikana kwa jina la dunia.
Mambo iko hukuuuuuuuuuuu
Safu ya waimbaji jahazi mwanamke nido eeeeeeee
Mtu na wifieeeeee khadija na leila mke wa kwanza wa mzee yusuf.
Bibi weeee isiwe tabu acha nilalie huku ina huuuuuu kazi kwenu nitawatengenezea miwani ya mbao maana mhhhh.kundi zima la kanga moja kazini.

6 comments:

  1. Tenaaaaaaaaaaaaa chezzzzzea weye nimependa hapo mwanamke nido nami namalizia aswa ukiwa na nalo ulijulie kulitwin kama huyo dada wa jahazi.mamy tupetupe kijiwe kisilale wadau twataka swaga za ukweli

    ReplyDelete
  2. kwani mzee yusuf ana wake wangapi?

    ReplyDelete
  3. mzee yusuphu ana wake wawili

    ReplyDelete
  4. Dida nimeona video ya bata ya mzee yusuf walahi mauno hahahahaha kweli wanaweka kwenye tv bongo sikuhizi bila maneno?

    ReplyDelete
  5. DIDA SABABU GANI IMEKUPELEKEA UKAACHA KUTANGAZA TUMEKUMISIJE MTU WANGU WEACHA TU!!!

    ReplyDelete
  6. dida sababu gani emekufanya mpaka ukaacha kutangaza mitikisiko ya pwani maana tumekumisije mtu wangu

    ReplyDelete