NIMEAMINI UKIMTESA MTU SANA JUU YA MAPENZI UJUE UNAMPENDAAAAAA.
Kama unakumbuka sisi wafuatiliaji wa big brother africa elizabeth gupta unamfahamu, bi dada alimtesa sana kijana kutoka nigeria kwa mapenzi lkn mwisho wa siku kanasa kwenye urimbo wa kijana huyo mshindi wa big brother africa aliye nyinyakulia midolali.alimpiga vijikofi ndani y mjengo ule na hata akishikwa bega upiga kelele na vijimnuno nahisi vya mahaba vilishamiri na hata kumuita shotiii kwa ufupi alionao haya sasa ufupi hauonekani bali leo kijana anaubeba mzigo jumla tayari ameshavalisha pete ya uchumba tunangoja shangwe haya sasa usiusemee moyo jamani. Shemejiiiiii mambo ya dar to naija.
dida usicheze na hela wewe huyo demu kaona hana pa kukimbilia si alikuwa hamtaki.
ReplyDeleteheheeeeeee ilo nalo neno jamani kufulia kubaya ila namtakia kila lakheri na mnaija wake dida una manenoo nakupendaaaa.
ReplyDeletewanaijeria mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletekweli kevin ni king'ang'anizi yaan mpaka katoka bado anaomba tu alipenda kwa dhati angekuwa mwingine mbona angetafuta mwingine maana mshiriki wa bb3kutoka tz kalambwa mle ndani na yule mshindi wa angola hajambulia kitu na sijui mpaka sasa wanawasiliana
ReplyDeletetunawatakia maisha mema watangulize sala kwa mungu kwa kila jambo maana binaadamu tunaroho mbaya wengine hawataki maendeleo ya watu - wakiona wanafakiwa tu basi mauza mauza kibao washindwe na walegee mungu atawajalia ili mradi uzima tu wajenge familia bila kuteteleka
ReplyDeletenamkata kauli msemaji aliyesema kafuta pesa sababu kafulia sio kweli kunawanawake wangapi wanapesa lakini hata mtu wa kuwaoa hawajitokezi ingawa matajiri mbona bba4-09 kulikuwa na wasichana zaidi ya 10 mbona kevin alivyotoka hakuwatafuta na hata alivyotoka elizabeth walibaki wengine mbona hakuwahitaji na walikuwa wazuri vile vile unajua ukiwa na bahati utapata tu, kevin pale ndio chaguo la moyo wake na ndio maana eliza alikuwa na msimamo mkali sana mle ndani wa kutopenda kujizalilisha kimapenzi mbele ya jamii/familia yake wakiwa wanaona live, mpaka baadhi ya washiriki wenzake hawakupenda alivyokuwa anamkata kevin mle ndani ila mshiriki mmoja tu mle ndani ambae ni rafiki yake emma wa angola ndio alikuwa anamsapoti na akimsii kevin kama kweli unampenda elizath usimsumbue msubiri mkitoka ndani ya jengo la bba na utampata lakini kevin alikuwa mbishi na ndio maana walikuwa wanagombana mara kwa mara - tunapenda muwe mnaangalia kwa makini bba nunueni dstv sio mnapenda kusimuliwa tu. achenyi nyongo mtatapika damu bure keshachumbiwa vijiba vya roho mbaya na nyie muolewe na watu wenye pesaaaaaaaaaaaaa mtajiju
ReplyDelete